Maktaba ya Mwaka: 2019

MHANDISI LUHEMEJA AANZA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI 41 YA DAWASA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja  ameanza ziara ya wiki moja ya kutembelea miradi 41 ya mamlaka hiyo inayoendeshwa kwa fedha za ndani. Ziara hiyo itakayokuwa ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani itaangalia tathmini ya miezi sita …

Soma zaidi »

TRC YAJIVUNIA UBORA WA MIUNDOMBINU

Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania TRC Masanja Kadogosa amesema shirika lake limepunguza ajali kubwa za treni kwa asilimia miamoja katika kipindi cha miaka mitatu na nusu na kwamba wanakusudia kuziondoa kabisa hata ajali ndogo kwa kuimarisha miundombinu ya reli. Bw. Kadogosa alisema hatua hiyo inatokana na kuimarisha miundombinu ya …

Soma zaidi »

UHAMASISHAJI WA UTAFITI UTAWEZESHA UHIFADHI NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Tathimini za uwekezaji katika kutunza mazingira katika nchi ni moja ya kazi muhimu za Ofisi ya tathmini ya Baraza la Kituo cha Kimazingira Duniani (GEF) linalotoa taarifa na matokeo ya jumla ya miradi na utendaji katika ngazi ya kitaifa. Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA) ambao ni …

Soma zaidi »