Tanzania na Serikali ya Umoja ya Libya, zimekubaliana kuingia katika mazungumzo ya kina yenye lengo la kupitia miradi yote na uwekezaji, iliyokuwa ikifanywa na Serikali ya Libya hapa nchini kabla ya machafuko nchini humo na pia kuangalia maeneo mapya ya uwekezaji ambayo Libya imeonesha nia ya kutaka kuwekeza chini ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE KITAIFA MKOANI SONGWE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutumia mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2019 kumkumbuka Baba wa Taifa kwa kupinga vitendo vya dhulma, ufisadi, rushwa, maradhi, chuki, dharau na kuwataka kuenzi …
Soma zaidi »LIVE: HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MTWARA -NEWALA – MASASI KM 210.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka jiwe la msingi la Ujenzi wa barabara ya Mtwara ,Newala -Masasi Km 210 Sehemu ya Mtwara -Mnivata Km 50. Sherehe inafanyika Naliendele Mkoani Mtwara Aprili 3, 2019 Mhe. Rais Yupo ziara ya siku tatu Mkoani Mtwara
Soma zaidi »LIVE BUNGENI: KIKAO CHA PILI MKUTANO WA 15,MASWALI NA MAJIBU
https://youtu.be/6anqdxyuvtw
Soma zaidi »LIVE: UWEKAJI JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO MTWARA
UPASUAJI SARATANI YA MATITI SASA UNAFANYIKA BILA KULIONDOA
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa kushirikiana na kampuni ya dawa ya Roche ya nchini Kenya imeandaa mkutano wa kisayansi wa kuwajengea uwezo wataalam wa Radiolojia, Pathiolojia, Upasuaji, tiba ya mionzi na dawa kufanya upasuaji wa saratani ya matiti kwa kutoa uvimbe bila kuondoa titi lote kwa wagonjwa wenye dalili za …
Soma zaidi »WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTANGAZA UTALII KUPITIA AFCON U17
Serikali ya dhamiria kutumia jukwaa wa Mashindano ya AFCON U17 yatakayofanyika hivi karibuni kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili kunufaika na wageni mbalimbali watakao kuja kushiriki michuano hiyo ya Kimataifa. Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Prof.Adolf Mkenda wakati wa kikao na Katibu …
Soma zaidi »