- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka jiwe la msingi la Ujenzi wa barabara ya Mtwara ,Newala -Masasi Km 210 Sehemu ya Mtwara -Mnivata Km 50. Sherehe inafanyika Naliendele Mkoani Mtwara Aprili 3, 2019 Mhe. Rais Yupo ziara ya siku tatu Mkoani Mtwara
Tags John Pombe Joseph Magufuli KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU MKOA WA MTWARA Rais Rais Live Ziara za Rais Magufuli
Unaweza kuangalia pia
RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA
Rais Dkt. John Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa …