Waziri wa Madini wa Uganda, Peter Lokeris na Ujumbe wake wameanza ziara ya kikazi nchini yenye lengo la kujifunza namna Sekta ya Madini inavyoendeshwa na namna Sheria na Kanuni zinavyosimamiwa, pamoja na uendeshaji wa shughuli za uchimbaji madini.Waziri wa Madini wa Uganda, Peter Lokeris na Ujumbe wake wakiwa na Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo wameanza ziara ya kikazi nchini yenye lengo la kujifunza namna Sekta ya Madini inavyoendeshwa na namna Sheria na Kanuni zinavyosimamiwa, pamoja na uendeshaji wa shughuli za uchimbaji madini.Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo anayezungumza akiwa na Waziri wa Madini wa Uganda, Peter Lokeris wa pili toka kushoto na Ujumbe wake wakiwa kwenye kikao kazi katika ziara ya kikazi nchini yenye lengo la kujifunza namna Sekta ya Madini inavyoendeshwa na namna Sheria na Kanuni zinavyosimamiwa, pamoja na uendeshaji wa shughuli za uchimbaji madini.