WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATOA MAELEKEZO KWA AJILI YA KUIMARISHA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo (Mb)  ametoa maelekezo kwa ajili ya kuimarisha sekta ya viwanda na biashara ili  sekta hizo zichangie kwa kiwango kikubwa  katika ukuaji wa uchumi na kutekeleza malengo ya  Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa III wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26,  Ilani ya CCM ya uchaguzi 2020 na Maelekezo ya Serikali ya Awamu ya Sita  na Ushauri na maoni maelekezo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kukuza uchumi wa Viwanda nchini. 

Profesa Mkumbo ametoa maelekezo hayo alipokutana na menejimenti ya wizara na wakuu wa taasisi zilizochini ya wizara hiyo kwa lengo la kutoa  mwelekeo wa utekelezaji wa majukumu ya Wizara katika kikao kilichofanyika  tarehe 10/04/2021 katika ukumbi wa Chuo cha Biashara jijini  Dodoma.

Ad
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo (Mb) akitoa mwelekeo wa utekelezaji wa majukumu ya Wizara  katika kutekeleza malengo ya  Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa III wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26,  Ilani ya CCM ya uchaguzi 2020 na Maelekezo ya Serikali ya Awamu ya Sita  na Ushauri na maoni maelekezo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kukuza uchumi wa Viwanda nchini katika kikao na menejimenti ya wizara na wakuu wa taasisi kilichofanyika  tarehe 10/04/2021 katika ukumbi wa Chuo cha Biashara jijini  Dodoma.

Akiongea katika kikao hicho, Waziri alisema Dira ya Maendeleo ya Mwaka 2025 inalenga kuona Tanzania inahitimu na kuondokana kuwa nchi masikini  inayotegemea kilimo na uchumi wa uzalishaji duni na kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025  ambapo wananchi wengi wajihusihe na kilimo cha kisasa kinachofunganishwa na viwanda na huduma. Hivyo alisisitiza kuwa ili kufikia dira hii wizara hiyo ina nafasi na mchango mkubwa  katika kufanikisha azma hiyo.


“ Uchambuzi wa maudhui ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na  Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa III wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26 unaonesha wazi kabisa nafasi ya Sekta ya Viwanda na Biashara…sisi kama Wizara tunatarajiwa kutoa mchango karibu kwa kila eneo la matokeo tarajiwa.”

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo(Mb) (Wapili kutoka kulia) Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) (wapili kutoka kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara wa Viwanda na Biashara Bw. Dotto James ( wa kwanza Kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt  Hashil  Abdallah (Wa kwanza kushoto) wakiwa katika Kikao  cha Wizara na Wakuu wa Taasisi zake. Kikao hicho kilicholenga kujadili mwelekeo wa utekelezaji wa majukumu ya Wizara kilifanyika  tarehe 10/04/2021 katika ukumbi wa Chuo cha Biashara jijini  Dodoma.


Alisema pia katika Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa III wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26, malengo sita kati ya malengo mahsusi 12 yanahusu sekta ya viwanda na biashara, kati ya vipaumbele vitano vya mpango huo vitatu vinahusu wizara hiyo, katika Sekta 30 za mpango  huo Sekta 6 zinahusu  Wizara na katika hatua 156  hatua 54  zinahusu  Wizara ya Viwanda na Biashara.

“Taasisi zote zilizochini ya Wizara ya Viwanda zinamchango mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya Wizara ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Mpango wa taifa wa Maendeleo wa III wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26, malengo ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020, Maelekezo ya Serikali awamu ya sita. Hivyo nawasihi muendelee kufanya kazi kwa mujibu wa Sheria Kanuni na taratibu zinazosimamia taasisi zenu katika utoaji wa huduma bora kwa wananchi na si kuwa kikwazo”

Hata hivyo, Profesa Mkumbo alisema hakusudii kutumia muda mwingi katika kutunga Sera, Sheria na mikakati na kuwa yeye analenga katika utekelezaji na kuona matokeo ya utekelezaji huo kwa kuchochea ukuaji wa haraka wa Sekta ya Viwanda na Biashara.

Pia aliwataka wataalamu wa Idara ya Sera na Mipango ya Wizara kusimamia uhuishaji wa nyaraka mbalimbali za kisera na sheria  ili ziende na wakati na kuakisi maudhui ya Mpango wa tatu wa Maendeleo na maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan.


Akitoa maelekezo mahususi kwa upande wa sekta ya viwanda, Profesa Mkumbo alitaka kuwa bayana na dhana na aina ya viwanda tunavyotaka kuviendeleza hapa nchini, kuwa na kanzi data ya kisasa ya viwanda. Pia alielekeza katika kupima maendeleo ya viwanda kwa kuzingatia kiwango cha uzalishaji na ajira, kuweka mazingira namasharti rahisi katika kukuza na kuchochea viwanda vidogo vidogo vinavyotumia teknolojia rahisi na ya kisasa na vilivyojikita vijijini na mijini,


Profesa Mkumbo pia alisisitiza mkazo katika kuwatambua, kuwawezesha na kuwahudumia wawekezaji katika viwanda vikubwa na vyenye tija katika uchumi na kuhuisha Mkakati wa Viwanda nchini, ikiwemo dhana ya EPZ na SEZ. Alisema pia kusimamia kwa karibu miradi ya kielelezo iliyopo katika Mpango wa Maendeleo wa Tatu wa Taifa ambayo ni mradi wa Chuma wa Mchuchuma na Liganga, Magadi Soda wa Engaruka, ujenzi wa Kiwanda cha Sukari-Mkulazi na kanda Maalum za Uchumi na Maeneo Maalum ya Uwekezaji

Wakuu wa taasisi zilizo chini ya wizara wakimsilikiliza Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo akitoa mwelekeo wa utekelezaji wa majukumu ya Wizara katika kutekeleza malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa III wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26, Ilani ya CCM ya uchaguzi 2020 na Maelekezo ya Serikali ya Awamu ya Sita na Ushauri na maoni maelekezo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kukuza uchumi wa Viwanda nchini katika kikao kikao na menejimenti ya wizara na wakuu wa taasisi kilichofanyika tarehe 10/04/2021 katika ukumbi wa Chuo cha Biashara jijini Dodoma.


Profesa Mkumbo alisema pia kuimarisha utafiti na matumizi yake katika maendeleo ya viwanda, ikiwemo kuwa na ushirikiano wa karibu na taasisi za utafiti na elimu ya juu na kupanua na kuboresha mahusiano na ushirikiano na taasisi za sekta binafsi.


“ Pia kuimarisha ushirikiano na OR-TAMISEMI katika maendeleo ya viwanda vidogo vidogo, tunataka kuona uwezekano wa kuwaongeza majukumu maafisa biashara wa Halmashauri ili pia wasimamie viwanda vidogo vidogo katika maeneo yao kwa kushirikiana na SIDO.”


Kwa upande wa sekta ya biashara, Profesa Mkumbo aliweka msisitiza katika suala la kujenga imani kwa wafanyabiashara kupitia, uwazi na mawasiliano chanya ya mara kwa mara. “Tunataka tunapokutana na wafanyabiashara tufanye mazungumzo yenye tija ya kubadilisha mikakati ya kukuza biashara na masoko, badala mikutano hiyo kutumika tu kama jukwaa la kusikiliza malalamiko ya wafanyabiashara.”


Alisema pia kuendelea kuzipitia kanuni za mamlaka za udhibiti zinazoonekana kukwamisha biashara, kuchochea na kuhamasisha tabia ya kujali wateja miongoni mwa watendaji wa Serikali wanaohudumia sekta mbalimbali za biashara.


Profesa Mkumbo alisema pia kuipitia na kufanya tathimini ya utekelezaji wa “Blue Print” kwa lengo la kuona maeneo ambayo bado hayajatekelezwa na kusimamia utekelezaji wake kikamilifu na kwa haraka, kushirikiana na OR-TAMISEMI, kuchambua na kuchakata kwa umakini maoni ya wabunge na wadau wengine kuhusu haja ya kuwa na Mfuko mmoja wa Mtaji kwa ajili ya wajasiriamali na wafanya biashara wadogo.


Alisema pia kuratibu na kusimamia uanzishwaji wa sera ya maendeleo ya sekta binafsi, ikiwemo biashara ndogo zinahitaji upendeleo maalumu ili kukua na kuweka msisitizo wa pekee katika kutafuta masoko ya bidhaa za Tanzania ndani ya nchi na nje ya nchi na kuratibu na kusimamia uanzishwaji wa maeneo maalum ya kibiashara hususani kwa maeneo ya mipakani. Pia, kuona namna ya kuimarisha eneo maalumu la kibiashara la Kariakoo ambalo kihistoria limekuwa likifanya vizuri na kuwalinda walaji.


Aidha, Profesa Mkumbo amesisitiza haja ya watendaji wa wizara na wataasisi kubadilisha mtizamo katika utendaji kazi na kuwa na “corporate thinking” na tabia ya kujali wateja kwa kuzingatia kuwa wadau tunaowahudumia ni wafanyabiashara.

Pia amewalekeleza wataalamu wa wizara hiyo kuhakikisha wanatoa ushauri wa kitaalamu wenye ushahidi wa kisayansi na ameahidi atatoa ushirikiano mkubwa kwa wafanyabiashara

Aidha, Profesa Mkubwa alisikiliza maoni na changamoto mbalimbali zinazozikabili taasisi hizo kutoka kwa Wakuu wa Taasisi kutoka TBS, WMA, BRELA, TANTRADE, SIDO, NDC, EPZA, FCC, FCT, WRRB, TIRDO, CAMARTEC, TEMDO na CBE na kuahidi kuzitatua.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

85 Maoni

  1. medicine in mexico pharmacies: mexican pharmacy online – mexican border pharmacies shipping to usa

  2. mexican rx online: reputable mexican pharmacies online – pharmacies in mexico that ship to usa

  3. canadian pharmacy world reviews: canadian mail order pharmacy – cheap canadian pharmacy

  4. mexican pharmacy mexican mail order pharmacies mexican pharmaceuticals online

  5. medication from mexico pharmacy: mexico drug stores pharmacies – buying prescription drugs in mexico online
    https://canadapharmast.online/# canadian pharmacy 24h com
    mexican drugstore online mexico pharmacy mexican online pharmacies prescription drugs

  6. https://foruspharma.com/# best online pharmacies in mexico

  7. top 10 online pharmacy in india: Online medicine home delivery – cheapest online pharmacy india

  8. mexico pharmacies prescription drugs: mexican border pharmacies shipping to usa – mexican mail order pharmacies

  9. top 10 pharmacies in india: reputable indian online pharmacy – indian pharmacy
    https://foruspharma.com/# buying from online mexican pharmacy
    buying from online mexican pharmacy mexican online pharmacies prescription drugs mexican pharmaceuticals online

  10. indian pharmacy paypal indianpharmacy com buy medicines online in india

  11. https://canadapharmast.com/# best canadian pharmacy online

  12. online canadian pharmacy reviews: canadian compounding pharmacy – canadian pharmacy 1 internet online drugstore

  13. canadian valley pharmacy certified canadian international pharmacy canadian pharmacy phone number

  14. medication from mexico pharmacy: mexican pharmacy – mexican pharmacy

  15. buy prescription drugs from canada cheap: precription drugs from canada – canadian pharmacy world

  16. canadian pharmacy meds review: online canadian drugstore – canadian pharmacy no scripts

  17. best rated canadian pharmacy: global pharmacy canada – canadian drug pharmacy
    https://canadapharmast.online/# best canadian online pharmacy
    indianpharmacy com online shopping pharmacy india Online medicine order

  18. medication from mexico pharmacy: medication from mexico pharmacy – mexico pharmacy

  19. mexico pharmacy: mexico drug stores pharmacies – mexico pharmacies prescription drugs

  20. indian pharmacy paypal mail order pharmacy india indianpharmacy com

  21. medication from mexico pharmacy mexico drug stores pharmacies mexico drug stores pharmacies

  22. canada pharmacy reviews: canadian pharmacy online store – canadian mail order pharmacy

  23. п»їlegitimate online pharmacies india: cheapest online pharmacy india – india online pharmacy

  24. pharmacy website india: top 10 pharmacies in india – india online pharmacy

  25. canadian pharmacy reviews: canadian pharmacy – canadian pharmacy phone number

  26. medication from mexico pharmacy: mexican rx online – reputable mexican pharmacies online

  27. canadian pharmacy india: reputable canadian pharmacy – canadian pharmacy mall

  28. india online pharmacy top 10 online pharmacy in india best india pharmacy

  29. indian pharmacies safe: top 10 pharmacies in india – reputable indian pharmacies
    http://canadapharmast.com/# reputable canadian online pharmacies
    buy medicines online in india buy medicines online in india online pharmacy india

  30. buy medicines online in india: reputable indian online pharmacy – indian pharmacy

  31. best online pharmacies in mexico: mexico drug stores pharmacies – mexico pharmacy

  32. canadian family pharmacy 77 canadian pharmacy canadian pharmacy world

  33. mexican rx online: mexican pharmacy – buying prescription drugs in mexico
    http://indiapharmast.com/# Online medicine home delivery
    india pharmacy top 10 pharmacies in india top 10 online pharmacy in india

  34. medicine in mexico pharmacies: mexican drugstore online – purple pharmacy mexico price list

  35. india online pharmacy: india online pharmacy – buy medicines online in india

  36. top 10 pharmacies in india: indian pharmacy – reputable indian online pharmacy
    https://canadapharmast.com/# adderall canadian pharmacy
    buy medicines online in india pharmacy website india india pharmacy

  37. http://canadapharmast.com/# canadapharmacyonline legit

  38. canadian drug pharmacy: canadian pharmacy com – canadian neighbor pharmacy

  39. onlinecanadianpharmacy 24: canadian pharmacy ltd – safe reliable canadian pharmacy

  40. generic amoxicillin online: purchase amoxicillin online – amoxicillin 30 capsules price
    https://paxloviddelivery.pro/# п»їpaxlovid

  41. cheap doxycycline online: cheap doxycycline online – can i buy doxycycline over the counter
    https://paxloviddelivery.pro/# paxlovid india

  42. doxycycline online india: doxycycline no prescription – doxycycline capsules for sale
    http://paxloviddelivery.pro/# buy paxlovid online
    cost cheap clomid pills can i get generic clomid without rx can you get cheap clomid without rx

  43. http://amoxildelivery.pro/# amoxicillin online without prescription
    paxlovid india paxlovid pill paxlovid pill

  44. ciprofloxacin 500 mg tablet price: ciprofloxacin generic – buy cipro online canada

  45. http://clomiddelivery.pro/# how to get generic clomid without dr prescription
    amoxicillin cost australia ampicillin amoxicillin amoxicillin 200 mg tablet

  46. https://amoxildelivery.pro/# order amoxicillin online uk

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *