SERIKALI YA WAKARIBISHA WAWEKEZAJI WA JUMUIYA YA AFASU KUTOKA MISRI

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji imewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka nchini Misri kupitia Jumuiya ya Muungano Kimataifa chini ya kundi la Afrika na Asia (Afro-Asian Union (AFASU). Ujumbe wa Jumuiya hiyo umefika nchini kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji hususani katika sekta ya; Utalii, Kilimo, Afya, Elimu na TEHAMA.

Akiongea wakati wa kikao na wawekezaji hao leo tarehe 7 Oktoba, 2021, ofisini kwake jiijini Dodoma, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Geoffrey Mwambe amewahakikishia wawekezaji hao kuwa ofisi hiyo itaratibu shughuli za uwekezaji wanazo kusudia kuzifanya hapa nchini kwa kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji hao.

Ad
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Geoffrey Mwambe akiongea na ujumbe wa Jumuiya ya Muungano Kimataifa chini ya kundi la Afrika na Asia (Afro-Asian Union (AFASU), ambao wapo nchini kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji tarehe 7 Oktoba, 2021, jiijini Dodoma.

Aidha, Mhe. Mwambe amebainisha kuwa wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ni kuwataka wawekezaji waje kuwekeza katika sekta yoyote waliyo na uwezo wa kuwekeza nchini. Ameongeza kuwa ujio wa wekezaji hao ni matokeo ya ziara aliyoifanya nchini Misri, mwezi Juni mwaka huu, ambapo aliwaalika kufanya ziara ya kibiashara nchini ili waweze kuona fursa za biashara na uwekezaji.

Kwa upande wake, Rais wa Jumuiya hiyo, Dkt.Hossam Darwish amefafanua kuwa Jumuiya hiyo imekusudia kuanza uwekezaji hapa nchini kuanzia mwaka huu kwa kuwa tayari wameshakamilisha utafiti wao wa masuala ya biashara na Uwekezaji.Amebainisha kuwa wanahitaji kuanza na ujenzi wa chou Kikuu cha masuala ya TEHAMA.

Rais wa Jumuiya ya AFASU, Dkt.Hossam Darwish akieleza nia ya Jumuiya hiyo kuwekeza nchini wakati wa kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Geoffrey Mwambe kilicho lenga kueleza lengo ya ziara yao ya kuangalia fursa za uwekezaji tarehe 7 Oktoba, 2021, jiijini Dodoma.

Aidha, ameongeza kuwa Jumuiya hiyo itajikita katika uwekezaji wa masuala ya Utalii hususani katika ujenzi wa Hoteli zenye hadhi kubwa. Katika sekta ya Afya ameeleza kuwa watajikita katika ujenzi wa Viwanda vya kuzalisha Dawa na Vifaa tiba, Ujenzi wa Hospitali ya Macho na teknlolojia ya Huduma ya Hospitali inayotembea.

Dkt. Hossam amebainisha kuwa wanao mpango wa kuandaa maonesho makubwa maalum ya Biashara na uwekezaji hapa nchini, ili kuweza kuchochea uwekazaji wenye tija. Aidha, ameeleza kuwa Jumuiya hiyo inayo teknolojia ya kisasa ya usindikaji taka za ambayo wanaweza kuiwekeza hapa nchini.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Geoffrey Mwambe akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa serikali pamoja na ujumbe wa Jumuiya ya Muungano Kimataifa chini ya kundi la Afrika na Asia (Afro-Asian Union (AFASU), ambao wapo nchini kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji tarehe 7 Oktoba, 2021, jiijini Dodoma.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu- Uwekezaji, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Ubalozi wa Misri.

Jumuiya ya AFASU ilianzishwa mwaka 1957, ambapo kwa sasa Jumuiya hiyo inao wananchama katika nchi 52 za Afrika na Asia. Miongoni mwa malengo ya Jumuiya hiyo ni kuunganisha nchi za Afrika na Asia katika Sekta ta Elimu, Uwekezaji na Biashara, kutafuta mitaji na kutekeleza miradi kati ya Sekta Binasi na  serikali.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

55 Maoni

  1. Our family had similar issues, thanks.

  2. I have to disagree with most of the comments here, but maybe I’m just a contrarian.

  3. Neymar da Silva Santos Junior https://neymar.prostoprosport-ar.com is a Brazilian footballer who plays as a striker, winger and attacking midfielder for the Saudi Arabian club Al-Hilal and the Brazilian national team. Considered one of the best players in the world. The best scorer in the history of the Brazilian national team.

  4. Admiring the time and effort you put into your site and detailed info you offer!

  5. Thanks for some other great post. Where else may anybody get that kind of information in such an ideal method of writing? I’ve a presentation next week, and I am at the look for such information.

  6. Erling Breut Haaland https://erling-haaland.prostoprosport-br.com Futebolista noruegues, atacante do clube ingles Manchester City e Selecao da Noruega. Detentor do recorde da Premier League inglesa em gols por temporada.

  7. I’ve thought about posting something about this before. Good job! Can I use part of your post in my blog?

  8. This website has lots of really useful stuff on it. Thanks for informing me.

  9. Beneficial Blog! I had been simply just debating that there are plenty of screwy results at this issue you now purely replaced my personal belief. Thank you an excellent write-up.

  10. mexican drugstore online
    https://cmqpharma.com/# mexico pharmacies prescription drugs
    pharmacies in mexico that ship to usa

  11. mexican pharmaceuticals online: cmq pharma mexican pharmacy – mexican online pharmacies prescription drugs

  12. Peculiar this blog is totaly unrelated to what I was searching for – – interesting to see you’re well indexed in the search engines.

  13. I don’t think the title of your article matches the content lol. Just kidding, mainly because I had some doubts after reading the article.

  14. legitimate canadian mail order pharmacy: adderall canadian pharmacy – canadian pharmacies compare

  15. top online pharmacy india online pharmacy india buy medicines online in india

  16. mexican mail order pharmacies: mexican drugstore online – mexico drug stores pharmacies

  17. canada drugs online review: canadian pharmacy online – vipps canadian pharmacy
    http://foruspharma.com/# mexican pharmaceuticals online
    mexican rx online mexican rx online mexican pharmaceuticals online

  18. mexico pharmacies prescription drugs: buying prescription drugs in mexico – mexican rx online

  19. indian pharmacy paypal: indian pharmacy paypal – top online pharmacy india

  20. Online medicine home delivery: best india pharmacy – online shopping pharmacy india

  21. canadian pharmacy checker: canadian neighbor pharmacy – canada drug pharmacy

  22. legit canadian pharmacy: www canadianonlinepharmacy – canada pharmacy online

  23. mexican online pharmacies prescription drugs buying prescription drugs in mexico medication from mexico pharmacy

  24. http://foruspharma.com/# medicine in mexico pharmacies

  25. online canadian pharmacy: canadian pharmacy antibiotics – canadianpharmacyworld com

  26. mexican border pharmacies shipping to usa: medicine in mexico pharmacies – mexico pharmacies prescription drugs

  27. buy prescription drugs from india best online pharmacy india indian pharmacy

  28. mexican rx online: mexico drug stores pharmacies – best online pharmacies in mexico

  29. п»їbest mexican online pharmacies: buying from online mexican pharmacy – medication from mexico pharmacy
    http://indiapharmast.com/# pharmacy website india
    india online pharmacy Online medicine home delivery india online pharmacy

  30. https://foruspharma.com/# mexican drugstore online

  31. mexican drugstore online: mexican rx online – pharmacies in mexico that ship to usa

  32. cost of doxycycline 100mg in india: doxycycline 100mg without prescription – doxycycline 100mg tablet price
    https://ciprodelivery.pro/# cipro online no prescription in the usa

  33. doxycycline 40 mg india: doxycycline in mexico – doxycycline pharmacy uk
    http://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline monohydrate
    buy cipro cheap cipro online no prescription in the usa cipro

  34. http://clomiddelivery.pro/# where buy clomid pills
    paxlovid buy paxlovid generic paxlovid price

  35. buying generic clomid without prescription: cheap clomid prices – how to get clomid for sale

  36. amoxicillin no prescription: azithromycin amoxicillin – can i purchase amoxicillin online
    http://amoxildelivery.pro/# can i buy amoxicillin over the counter in australia

  37. amoxicillin capsules 250mg: can you purchase amoxicillin online – amoxicillin 500 mg purchase without prescription
    http://ciprodelivery.pro/# antibiotics cipro
    cost of amoxicillin amoxicillin 750 mg price buying amoxicillin in mexico

  38. http://paxloviddelivery.pro/# paxlovid india
    ciprofloxacin order online ciprofloxacin over the counter cipro

  39. generic clomid no prescription: where buy clomid price – where can i buy generic clomid pills
    https://amoxildelivery.pro/# amoxicillin azithromycin

  40. http://clomiddelivery.pro/# buying generic clomid without a prescription

  41. buy online doxycycline: buying doxycycline uk – doxycycline 400 mg brand name

  42. amoxicillin 500 capsule: buy amoxicillin online without prescription – amoxicillin 500 mg brand name
    https://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline over the counter
    doxycycline 50mg tablets azithromycin doxycycline order doxycycline online

  43. http://amoxildelivery.pro/# medicine amoxicillin 500mg
    buy ciprofloxacin ciprofloxacin generic price ciprofloxacin over the counter

  44. buy paxlovid online: Paxlovid over the counter – Paxlovid over the counter
    http://paxloviddelivery.pro/# paxlovid generic

  45. Paxlovid buy online: п»їpaxlovid – paxlovid pharmacy
    http://paxloviddelivery.pro/# paxlovid india
    doxycycline 10mg price doxycycline over the counter australia doxycycline 100g tablets

  46. paxlovid generic: paxlovid cost without insurance – paxlovid cost without insurance

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *