Maktaba ya Kila Siku: October 7, 2021

WAZIRI MAKAMBA AANZA KUTEKELEZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS MKOANI KIGOMA

Waziri wa Nishati, January Makamba ameanza kutekeleza agizo lililotolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango tarehe 22 Septemba 2021 la kutatua  changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara mkoani Kigoma. Katika ziara yake ya kikazi mkoani Kigoma aliyoifanya tarehe 06 Oktoba 2021, Waziri …

Soma zaidi »

DKT. BITEKO AWATAKA WAFANYABIASHARA WA MADINI KUSAJILI MIKATABA NA WABIA WAO TUME YA MADINI

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza na wafanyabiashara wa madini katika Soko Kuu la Dhahabu Mkoani Geita leo Oktoba 6, 2021. (Picha na Steven Nyamiti-WM). Na Steven Nyamiti- WM Wafanyabiashara wa madini wametakiwa kuingia mikataba na wabia wao kwa mujibu wa sheria na kuhakikisha mikataba hiyo inasajiliwa katika ofisi …

Soma zaidi »

TANZANIA NA BENKI YA KIARABU WASAINI MKATABA WA UJENZI WA BARABARA YA ZANZIBAR

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, wakisaini marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete – Chake Chake, Pemba katika hafla iliyofanyika, jijini Dodoma. Waziri wa Fedha …

Soma zaidi »