Maktaba ya Kila Siku: October 1, 2021

MAJALIWA: SERIKALI INATAMBUA MCHANGO UNAOTOLEWA NA TAASISI ZA KIDINI NCHINI

Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inaheshimu, inathamini na kutambua mchango mkubwa unaotolewa na taasisi za kidini katika kujenga jamii ya wacha Mungu, wenye kutii mamlaka na sheria. Pia, Mheshimiwa Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za kidini kujiepushe kutumia nyumba za …

Soma zaidi »

WAZIRI MCHENGERWA AELEKEZA KUWASHUSHA VYEO MAAFISA UTUMISHI WALIOSHINDWA KUTEKELEZA AGIZO LA KUWAPANDISHA VYEO WATUMISHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaelekeza watendaji wa ofisi yake kufanya ufuatiliaji ili kuwashusha vyeo Maafisa Utumishi katika Taasisi za Umma walioshindwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hasssan la kuwapandisha vyeo watumishi wenye sifa za kupanda madaraja. Mchengerwa …

Soma zaidi »

WAZIRI MULAMULA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MAKAMPUNI YA THE PULA GROUP JIJINI DAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Dr. Donald Wright alipowasili kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Peace Corps Tanzania yaliyofanyika kwenye viunga vya Taasisi hiyo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Mambo …

Soma zaidi »