Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kilichotokea tarehe 17 Machi 2021 mkoani Dar es Salaam. Hafla ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2021
TANZANIA NA CHINA KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimisha mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na …
Soma zaidi »MAFUNDI SIMU ACHENI KUFUTA IMEI NAMBA – WAZIRI NDUGULILE
Na Prisca Ulomi, WMTH, Arusha Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewaasa baadhi ya mafundi simu za mkononi kuacha tabia ya kufuta IMEI namba wanapoletewa simu na wateja wao. Dkt. Ndugulile ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya siku ya kwanza mkoani Arusha wakati akizungumza na …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE VIWANDA IMETEMBELEA UJENZI WA KIWANDA CHA CHANJO ZA WANYAMA NA KUKAGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIUADUDU
Na Eliud Rwechungura Kamati ya kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. David Kihenjile (Mb) na Makamu Mwenyekiti Mhe. Eric Shigongo imeambatana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb) katika mwendelezo wa ziara za kamati hiyo katika mkoa wa Pwani na …
Soma zaidi »WIZARA YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI MAPENDEKEZO YA KUTUNGWA KWA SHERIA YA TEHAMA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Zainab Chaula akizungumza wakati akifunga kikao cha wadau cha kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa Sheria ya TEHAMA kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria Lugano Rwetaka na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA AIOGONZA KAMATI KUDUMU YA BUNGE PAC KUUKAGUA MRADI WA MBIGIRI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama ameiongoza kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali (PAC) kuukagua mradi wa uzalishaji sukari katika shamba la Mbigiri, wilayani kilosa mkoani Morogoro. Akiongea wakati wa kikao na Kamati hiyo …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AMALIZA UTATA MGOGORO WA ARDHI KIJITONYAMA
Na Munir Shemweta, WANMM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amemaliza utata uliojitokeza mtaa wa Nzasa kata ya Kijitonyama katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam baina ya baadhi ya wakazi wa mtaa huo na mmiliki wa viwanja namba 296 na 297 Dkt Khalifa Mussa Msami …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA WA MJI WA MUHEZA MKOANI TANGA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI WA VIWANDA YALIYO CHINI YA EPZA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. David Mwakiposa Kihenzile(Mb) huku ikiwa imeambatana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe ikiendelea na ziara yake katika Maeneo Maalum ya uwekezaji kwa mauzo ya nje (EPZA) Ubungo, Dar es salaam. …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WAITARA AWAAGIZA WENYE VIWANDA WOTE NCHINI KUAJIRI WATAALAMU WA MAZINGIRA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara akiangalia mfereji wa majitaka yanayotiririka kutoka kiwanda cha Keds Tanzania Company Ltd kilichopo mjini Kibaha mkoani Pwani wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za mazingira. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) …
Soma zaidi »