MKOA WA TANGA

WAZIRI MKUU ATOA AGIZO UENDELEZAJI ZAO LA MKONGE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge watenge ekari 10 kwa akili ya kuanzisha vitalu vya kuzalisha miche ya mkonge ili kupunguza tatizo la upungufu wa mbegu. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo itenge fedha katika bajeti yake kwa ajili ya …

Soma zaidi »

SERIKALI IMEANZA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA BIASHARA KATIKA SEKTA YA MISITU

Serikali imeanza kuweka mazingira mazuri yatakayowezesha sekta ya misitu kuchangia kikamilifu katika ukuaji wa uchumi; kuwaongezea wananchi kipato na kuzalisha ajira. Naibu Kamishna wa Uhifadhi – TFS Mohamed Kilongo anasema hatua hiyo inalenga kuimarisha utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji Nchini ili shughuli za uchumi na …

Soma zaidi »

MALI ZOTE ZA WAKULIMA WA MKONGE KURUDISHWA -WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli itahakikisha mali zote za wakulima wa zao la mkonge nchini zinarudishwa mikononi mwao na hakuna mtu yeyote atakayeonewa.“Tutarudisha mali zote za wakulima na ninawahakikishia hakuna mtu yoyote atakayeonewa, kama tulivyorudisha hizi mali za …

Soma zaidi »