SAMIA SULUHU HASSAN AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kilichotokea tarehe 17 Machi 2021 mkoani Dar es Salaam. Hafla ya Uapisho imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akielekea katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupewa Heshima ya kupigiwa Wimbo wa Taifa pamoja na kukagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati akipigiwa Wimbo wa Taifa mara baada ya kuapishwa kuwa Rais.
Mama Samia Suluhu Hassan akielekea kukagua gwaride rasmi baada ya kula kiapo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2021
Mama Samia Suluhu Hassan akila kiapo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamisi Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2021

Ad

Unaweza kuangalia pia

Mitazamo ya Uongozi ya Mhe. Ummy Ally Mwalimu katika Sekta za Afya, Maendeleo ya Jamii, na Haki za Watoto

Ummy Ally Mwalimu ameonyesha mitazamo ya uongozi yenye mwelekeo wa kujali maendeleo na ustawi katika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *