Maktaba ya Mwaka: 2021

DKT. KALEMANI AZINDUA MATUMIZI YA GESI ASILIA KATIKA MAGARI YA DANGOTE

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua matumizi ya Gesi asilia katika magari (CNG) ya kampuni ya kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote katika kufanya safari zake badala ya kutumia mafuta. Dkt. Kalemani alifanya uzinduzi huo wakati wa ziara yake ya kikazi Mkoani Mtwara ya kutembelea Kiwanda cha Dangote, kukagua …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WALIOKWAMISHA ZOEZI LA URASIMISHAJI KIVULE

Na Munir Shemweta, WANMM Waziri Lukuvi ameagiza kuchukuliwa hatua na kuchunguzwa watendaji wote wa chuo cha ardhi Morogoro (ARIMO) waliohusika kuchelewesha urasimishaji makazi katika kata ya Kivule Dar Es Salaam. Aidha, Waziri Lukuvi aligiaza pia Makamishna wote wa ardhi katika ofisi za ardhi za mikoa kumpatia majina na kampuni zilizoshindwa kutekeleza …

Soma zaidi »

DKT. CHAULA ASISITIZA UWAZI KWA WATENDAJI WA TAASISI ZA MAWASILIANO ZENYE MATAWI TANZANIA BARA NA VISIWANI

Na Faraja Mpina – WMTH, Zanzibar Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula amewataka watendaji wa taasisi za mawasiliano zenye matawi Tanzania bara na visiwani kuwa wazi kwa wananchi kwa kutoa maelezo ya kina kuhusu sheria, taratibu na miongozo mbalimbali ili kuondoa sintofahamu kwa …

Soma zaidi »

HAKIKISHENI WATOTO WANAPATA TIBA SAHIHI PINDI WANAPOUGUA – MTAALAMU KUTOA PASS

Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam Wazazi na walezi nchini wameshauriwa  kuwapeleka  watoto wao katika vituo vya afya kwa ajili ya uchunguzi na matibabu stahiki pindi watakapoonesha viashiria  vyovyote vya ugonjwa. Wito huo umetolewa leo na kiongozi wa kikundi cha wanawake kutoka Taasisi binafsi ya kuwezesha sekta ya kilimo …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: RAIS MAGUFULI AMEDHAMIRIA KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamua kuboresha miundombinu mbalimbali ya usafiri nchini ikiwemo ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa (SGR) ili kurahisisha usafirishaji wa abiria na mizigo. Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Machi 5, 2021) baada ya kukagua maendeleo ya sehemu ya kipande cha pili …

Soma zaidi »