Maktaba ya Mwaka: 2021

UJENZI WA MAJENGO MJI WA SERIKALI SASA SI WAKATI WA NADHARIA

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemkabidhi mkandarasa anayejenga jengo la wizara yao ambapo sasa vifaa vinatakiwa kuletwa katika eneo la ujenzi ambalo tayari limeshasafisha kwa kuanza kwa ujenzi huo. Hayo yamebainika leo septemba 29, 2021 Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma ambapo zoezi la makabidhiano limefanyika mbele ya Wakala …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA IKULU CHWAMWINO

Rais Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 28 Septemba, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Hafez Ghanem, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Katika mazungumzo hayo, Rais Samia amemueleza Dkt. Ghanem vipaumbele vya Serikali ya Awamu ya Sita ambavyo ni kuboresha huduma za jamii ikiwemo …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA WACHUNGAJI NA MAASKOFU NA MMADHIMISHO YA MIAKA 50 YA ANGLKANA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Wachungaji na Maaskofu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Maadhimisho ya Miaka 50 Kanisa hilo katika Viwanja vya Chuo Kikuu ST. John’s Jijji Dodoma leo Sept 28,2021. Caption. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu …

Soma zaidi »

KASEKENYA AMTAKA MKADARASI DARAJA LA JPM KUFIDIA MUDA ULIPOTEA

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, amemtaka mkandarasi wa kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation na China Railway 15 Bureau Group Corporation wanaojenga Daraja la JPM (Kigongo hadi Busisi), lenye urefu wa kilometa 3.2 kufidia muda uliopotea na kuwafanya wawe nyuma kwa asilimia 7.Akikagua maendeleo ya …

Soma zaidi »