Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiondoa Kitambaa kuzindua mradi wa maji wa Mlandizi-Chalinze-Mboga katika tukio lililofanyika Chalinze mkoani Pwani leo tarehe 22 Machi 2022.
RAIS SAMIA AKUTANA NA UJUMBE MAALUM WA MFALME WA SAUD ARABIA, AZINDUA MRADI WA MAJI CHALINZE, PWANI
Matokeo ChanyA+
March 22, 2022
MKOA WA PWANI, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Wizara ya Maji
654 Imeonekana