Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Kitabu cha Mkakati wa Nne wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi Tanzania (2018/19 – 2022/23) baada ya kuzindua Mkakati huo katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Kitaifa, kwenye Kiwanja cha Jamhuri jijini Dodoma, Desemba 1, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile.

WAZIRI MKUU AZINDUA MKAKATI WA KUDHIBITI UKIMWI

WAZIRI MKUU AKIPOKEA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mkakati wa Nne wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi Tanzania (2018/19 – 2022/23) katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Kitaifa, kwenye Kiwanja cha Jamhuri jijini Dodoma, Desemba 1, 2018. Wapili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile na Kushoto, Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Leonard Maboko.
  • WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua Mkakati wa Nne wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI 2018/19 – 2022/23 ambao unatarajia kupunguza maambukizi mapya ya VVU kwa asilimia 75 ifikapo mwaka 2020 na asilimia 85 ifikapo mwaka 2023. Matokeo mengine yanayotarajiwa kufikiwa kutokana na mkakati huo ni kupungua kwa maambukizi mapya ya VVU miongoni mwa watoto kwa chini ya asilimia 5 ifikapo mwaka 2023 na chini ya asilimia 2 ifikapo mwaka 2030.
  • Waziri Mkuu amezindua mkakati huo leo (Jumamosi, Desemba 1, 2018) kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani yaliyofanyika Kitaifa jijini Dodoma na kusema kuwa matayarisho yake yamezingatia matokeo ya mapitio ya Mkakati wa Tatu wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI 2013/14 – 2017/18. Amesema mbali na matokeo hayo pia mkakati huo utawezesha kupungua kwa vifo vinavyohusiana na ukimwi  kwa asilimia  50 ifikapo mwaka 2020 na asilimia 70 ifikapo mwaka  2023 na kupunguza unyanyapaa na ubaguzi ifikapo 2023 na kuelekea kutokomeza kabisa ifikapo mwaka 2030.
WAZIRI-MKUU--DEC-1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Kitabu cha Mkakati wa Nne wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi Tanzania (2018/19 – 2022/23) Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa Nchini, Alvaro Rodriguez baada ya kuzindua Mkakati huo katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Kitaifa, kwenye Kiwanja cha Jamhuri jijini Dodoma, Desemba 1, 2018. Watatu kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile na Kushoto, Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Leonard Maboko.
  • Hata hivyo Waziri Mkuu amesema mkakati huo umewianisha na kupanga programu mbalimbali zinazosaidia mwitikio wa Taifa zikiwemo afua zinazotekelezwa kupitia mpango wa dharura wa Rais wa Marekani wa uKIMWI (PEPFAR). “Pia Mfuko wa Dunia wa kudhibiti UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Globa Fund) na jitihada nyingine za makubaliano ya ushirikiano baina ya nchi mbalimbali na ili kupata matokeo mazuri tunapaswa kuimarisha mawasiliano na uratibu miongoni mwa wadau wote sambamba na kufuata na kutekeleza vipaumbele vilivyoainishwa.”
  • Kadhalika, Waziri Mkuu amesema maadhimisho hayo husaidia kubaini changamoto, mafanikio na hivyo, kuja na mikakati ya kupambana na maambukizi ya VVU na UKIMWI. “Siku hii hutoa fursa kote Duniani kutafakari kwa mara nyingine kuhusu tulipotoka, tulipo na tunapokwenda katika mapambano ya UKIMWI kwenye jamii zetu.” Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amezungumzia kuhusu faida za kampeni ya FURAHA YANGU aliyoizindua mwezi Juni mwaka huu, ambapo aliagiza mikoa yote kufanya uzinduzi wa kampeni hiyo kwenye ngazi za mikoa na hata wilaya.
WAZIRI MKUU AKIONGEA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani kwenye Kiwanja cha Jamhuri jijini Dodoma
  • Amsematakwimu zinaonesha kuwa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya FURAHA YANGU katika mikoa yote nchini jumla ya wananchi 262,114 walijitokeza kupima VVU, wakiwemo wanawake 136,389 na wanaume 125,725. “Natoa wito kwa Mikoa na Wilaya zote kuwa kampeni hii iwe endelevu. Viongozi katika ngazi mbalimbali tuungane kwenye uhamasishaji wa jambo hili kwani vita dhidi ya VVU na UKIMWI inahitaji dhamira ya dhati na tafakuri ya kina katika kujilinda dhidi ya maambukizi mapya.”
MATEMBEZI
Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipita kwa maandamano mbele ya Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Kitaifa, kwenye Kiwanja cha Jamhuri jijini Dodoma
  • Waziri Mkuu amewahakikishia kuwa kuwa Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli itaendelea kutekeleza na kuboresha huduma za upimaji wa Virusi Vya UKIMWI, kuzuia maambukizi ya kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, matibabu ya magonjwa nyemelezi na kupiga vita unyanyapaa wa aina zote kwa WAVIU.
Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI YA CANADA YATOA FEDHA ZA KITANZANIA BILIONI 90 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA VYUO VYA UALIMU NCHINI

Kiasi cha fedha za kitanzania bilioni 90 zimetolewa na Serikali ya Canada kupitia mradi wa  …

123 Maoni

  1. Erling Breut Haaland https://erling-haaland.prostoprosport-cz.org je norsky fotbalista, ktery hraje jako utocnik za Anglicky klub Manchester City a norska reprezentace. Rekordman anglicke Premier League v poctu golu za sezonu.

  2. Edson Arantes do Nascimento https://pele.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, forward (attacking midfielder. Played for Santos clubs) and New York Cosmos. Played 92 matches and scored 77 goals for the Brazilian national team.

  3. Kylian Mbappe Lotten https://kylian-mbappe.prostoprosport-cz.org Francouzsky fotbalista, utocnik Paris Saint-Germain a kapitan tymu francouzskeho tymu. 1. cervence 2024 se stane hracem spanelskeho klubu Real Madrid.

  4. Mohamed Salah https://mohamed-salah.prostoprosport-cz.org je egyptsky fotbalista, ktery hraje jako utocnik za anglictinu. klub Liverpool a egyptsky narodni tym. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu na svete.

  5. Kevin De Bruyne https://kevin-de-bruyne.prostoprosport-cz.org Belgicky fotbalista, zaloznik Manchesteru klub City” a belgicky narodni tym. Absolvent fotbalovych klubu „Ghent” a „Genk”. V roce 2008 zahajil svou karieru dospelych, debutoval v Genku.

  6. Robert Lewandowski https://robert-lewandowski.prostoprosport-cz.org je polsky fotbalista, utocnik spanelskeho klubu Barcelona a kapitan polskeho narodniho tymu. Povazovan za jednoho z nejlepsich utocniku na svete. Rytir krize velitele polskeho renesancniho radu.

  7. Pablo Martin Paez Gavira https://gavi.prostoprosport-cz.org Spanelsky fotbalista, zaloznik barcelonskeho klubu a spanelske reprezentace. Povazovan za jednoho z nejtalentovanejsich hracu sve generace. Ucastnik mistrovstvi sveta 2022. Vitez Ligy narodu UEFA 2022/23

  8. Son Heung Min https://son-heung-min.prostoprosport-cz.org Jihokorejsky fotbalista, utocnik a kapitan anglickeho klubu Premier League Tottenham Hotspur a narodniho tymu Korejske republiky. V roce 2022 vyhral Zlatou kopacku Premier League.

  9. Cristiano Ronaldo https://cristiano-ronaldo.prostoprosport-cz.org je portugalsky fotbalista, utocnik, kapitan Saudske Arabie klubu An-Nasr a portugalskeho narodniho tymu. Mistr Evropy. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu vsech dob. Nejlepsi strelec v historii fotbalu podle IFFIS a ctvrty podle RSSSF

  10. Pedro Gonzalez Lopez https://pedri.prostoprosport-cz.org lepe znamy jako Pedri, je spanelsky fotbalista, ktery hraje jako utocny zaloznik. za Barcelonu a spanelskou reprezentaci. Bronzovy medailista z mistrovstvi Evropy 2020 a zaroven nejlepsi mlady hrac tohoto turnaje.

  11. Rodrigo Silva de Goiz https://rodrygo.prostoprosport-cz.org Brazilsky fotbalista, utocnik Realu Madrid a brazilskeho narodniho tymu. V breznu 2017 byl Rodrigo povolan do narodniho tymu Brazilie U17 na zapasy Montague Tournament.

  12. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thibaut-courtois.prostoprosport-cz.org Belgicky fotbalista, brankar spanelskeho klubu Real Madrid . V sezone 2010/11 byl uznan jako nejlepsi brankar v belgicke Pro League a take hrac roku pro Genk. Trojnasobny vitez Ricardo Zamora Trophy

  13. Toni Kroos https://toni-kroos.prostoprosport-cz.org je nemecky fotbalista, ktery hraje jako stredni zaloznik za Real Madrid a nemecky narodni tym. Mistr sveta 2014. Prvni nemecky hrac v historii, ktery sestkrat vyhral Ligu mistru UEFA.

  14. Romelu Menama Lukaku Bolingoli https://romelu-lukaku.prostoprosport-cz.org Belgicky fotbalista, utocnik anglickeho klubu Chelsea a Belgican vyber. Na hostovani hraje za italsky klub Roma.

  15. отчаянные домохозяйки в хорошем качестве отчаянные домохозяйки 1 сезон смотреть

  16. официальный сайт Dragon Money драгон мани казино вход

  17. Большой выбор игровых автоматов, рабочее зеркало сайта плейфортуна зеркало играть на реальные деньги онлайн

  18. Качественная и недорогая https://mebelvam-nn.ru/catalog/myagkaya-mebel/ лучшие цены, доставка и сборка.

  19. Pin Up casino https://pin-up.salexy.kz official website, Pin Up slot machines play for money online, Pin Up mirror working for today.

  20. The main sports news of Azerbaijan https://idman.com.az. Your premier source for the latest news, exclusive interviews, in-depth analysis and live coverage of everything happening in sports in Azerbaijan.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *