Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akiongea katika kikao hicho kilichowakutanisha wamiliki wa viwanda vya vifaa kinga ambapo amewapongeza wamiliki wa viwanda vya dawa,vifaa na vifaa tiba kuzalisha vifaa kinga Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Innocent Bashungwa Pamoja na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
SHERIA YA KODI YATOA MSAMAHA KWA MAPATO YASIYOZIDI MILIONI 4 KWA MWAKA
Na. Josephine Majura na Saidina Msangi, WFM, Dodoma Serikali imeeleza kuwa Sheria ya Kodi imetoa msamaha wa kodi kwa wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na wastaafu ambao mapato yao kwa mwaka hayazidi Shilingi milioni nne. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu …
Soma zaidi »UJENZI KIWANDA CHA KUCHAKATA DHAHABU WASHIKA KASI MKOANI MWANZA
Mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kuchakata madini ya dhahabu nchini umeshika kasi huku ujenzi wake ukitarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Septemba 2020 na kuifanya dhahabu ya Tanzania kusafirishwa ikiwa tayari imechakatwa na hivyo kuongeza thamani ya madini hayo katika soko la dunia.Ujenzi wa kiwanda hicho ulianza rasmi mwezi Machi, 2020 …
Soma zaidi »MSIMU HUU KWENYE ZAO LA KOROSHO UMEENDA VIZURI SANA – NAPE
Mbunge wa jimbo la Mtama Mkoani Lindi, Nape Nnauye amesema kuwa msimu huu kwenye zao la korosho umeenda vizuri baada ya Serikali kuviachia vyama vya Ushirika kususimamia. Amesema hayo Bungeni mjini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Kilimo, amesema kuwa namna bora ya kuimarisha Vyama vya Ushirika ni kuvisimamia …
Soma zaidi »TANESCO KUTUMIA BIL.1.2 KUBORESHA UMEME KIWANDA CHA SUKARI MTIBWA
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa serikali imetenga shilingi za kitanzania Bilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme utakaokuwa ukitumiwa na kiwanda cha sukari peke yake, katika kuendesha shughuli za uzalishaji. Amesema hayao alipotembelea kiwanda cha Sukari Mtibwa, ambapo amesema kuwa njia hiyo ya …
Soma zaidi »UMEME WA SGR KUKAMILIKA MWISHONI MWA MEI, 2020
Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa nguzo kubwa za kusafirisha umeme utakaotumika katika reli ya kisasa(SGR) kuendesha treni ya umeme, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani alifanya ziara ya kukagua njia ya kusafirisha umeme Mei 11, 2020 mkoani Morogoro. Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa nguzo kubwa za …
Soma zaidi »WAZIRI UMMY: TUTANDELEA KUTOA AJIRA KWA WAUGUZI NCHINI
Serikali imesema itaendelea kutoa kipaumbele katika ajira za wauguzi kadri nafasi zitakavyokuwa zikipatikana ili kuboresha huduma za afya nchini. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizungumza na watumishi wa hospitali ya rufaa ya mkoa ya Mwananyamala katika Maadhimisho …
Soma zaidi »WAZIRI HASUNGA AAGIZA NFRA KUNUNUA CHAKULA MSIMU HUU NA KUKIHIFADHI KWENYE VIHENGE VIPYA VYA MJINI BABATI
Sehemu ya vihenge vya kisasa ambavyo vimejengwa katika eneo la Maisaka mkoani Manyara ulianza rasmi Mwezi Disemba, 2018 Mradi unatekelezwa kutokana na fedha za mkopo nafuu kutoka Serikali ya Poland ambapo Kampuni ya ARAJ Realizacje kutoka nchini Poland ilishinda kandarasi hiyo ikishirikiana na Mkandarasi wa ndani Kampuni ya ELERAI Construction …
Soma zaidi »ATCL YAANDAA SAFARI MAALUM KWA WAFANYABIASHARA
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), limeandaa safari kwa wafanyabiashara wazawa itakayofanyika Machi 4, 2020 kwenda Mumbai India kwaajili ya kukuza biashara baina ya nchi Tanzania na nchi hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano wa ATCL, Josephat Kagwirwa alisema kuwa …
Soma zaidi »WIZARA YA AFYA YAKABIDHIWA HOSPITALI YA MKOA YA MAWENI
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekabidhiwa rasmi hospitali ya rufaa ya mkoa maweni iliyopo mkoani Kigoma. Akikabidhiwa hospitali hiyo Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula amesema kuwa anashukuru sekretarieti ya mkoa kwa kuisimamia hospitali hiyo pamoja na watumishi katika kipindi hicho na hivyo …
Soma zaidi »