Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

RAIS WA BENKI YA BIASHARA NA MAENDELEO AIPONGEZA TANZANIA KWA KUJENGA RELI YA KISASA

Rais na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini mwa Afrika (TDB) Dkt. Admassu Tadesse ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kutekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR) kwa kutumia fedha zake za ndani na kuahidi kuwa Benki yake itafanya …

Soma zaidi »

DC CHONGOLO AKABIDHI  MADARASA, OFISI ZA WALIMU  KATIKA SHULE YA SEKONDARI TWIGA NA KIGOGO

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amekabidhi madarasa sita na ofisi tatu za walimu katika Shule ya Sekondari Kigogo iliyopo kwenye Kata hiyo pamoja na Shule ya Sekondari Twiga iliyopo Kata ya Wazo ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wakuhakikisha kuwa hakuna mwanafunzi anakosa nafasi ya kusoma kwa …

Soma zaidi »

SERIKALI YANEEMESHA WACHIMBA MADINI

Serikali kupitia Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP), imeendelea kunufaisha wachimbaji wadogo wa madini kwa kuanzisha na kuboresha mifumo mbalimbali itakayosaidia kukuza sekta ya madini pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo. Ujenzi wa Kituo cha Umahiri kilichopo katika Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu kunatokana na Sera ya …

Soma zaidi »

TAASISI NNE ZATII AGIZO LA RAIS MAGUFULI LA KUZITAKA KAMPUNI, TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA KUTOA GAWIO NA MICHANGO SERIKALINI NDANI YA SIKU 60

Siku moja baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutoa muda wa siku 60 kwa wenyeviti wa bodi na watendaji wa Kampuni, Taasisi na Mashirika ya Umma yanayomilikiwa na Serikali kwa asilimia 100 pamoja na yale ambayo Serikali ina hisa kutoa gawio na michango yao kwenye mfuko Mkuu wa Serikali …

Soma zaidi »

TUNAZO FEDHA ZA KUKAMILISHA HOSPITALI YA UHURU – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi kuwa Serikali inayo fedha za kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Uhuru. Rais Magufuli amesema hayo leo alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ospitali hiyo inayojengwa wilayani Chamwino, Dodoma. …

Soma zaidi »