Serikali imeridhia kufuta mapori tengefu 12 yenye ukubwa wa ekari 707,659.94 ambayo yamepoteza sifa na imeamua yagawiwe kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za makazi, kilimo na mifugo. Uamuzi huo umefikiwa (Jumatatu, Septemba 23, 2019) kweye kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
RAIS DKT MAGUFULI ATOA SHILINGI MILIONI 10 KUISAIDIA TIMU YA TAIFA YA SOKA YA WALEMAVU (TEMBO WARRIORS) KUSHIRIKI MASHINDANO YA AFRIKA NCHINI ANGOLA MWEZI UJAO
LIVE:RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA – IKULU DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua tarehe 20 Septemba, 2019 1.Bw. Loata Sanare kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro. Bw. Sanare anachukua nafasi ya Dkt. Kebwe Stephen Kebwe ambaye uteuzi wake umetenguliwa. 2. Bw. Tixon Tuyangine Nzunda kuwa Katibu Mkuu, …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI AKUTANA NA WAZALISHAJI BINAFSI WA UMEME NCHINI
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, amekutana na wazalishaji binafsi wa umeme nchini na kujadiliana masuala mbalimbali ya kuboresha zaidi sekta hiyo, ikiwa ni mwendelezo wa kutekeleza kwa vitendo azma ya serikali kutambua mchango wao na kuwawezesha. Mkutano huo ulifanyika Septemba 19 jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa pia na …
Soma zaidi »MSIMU UJAO KOROSHO KUNUNULIWA KWA KUJISAJILI KUPITIA MFUMO WA ATMIS – WAZIRI HASUNGA
Serikali imetangaza ununuzi wa korosho wa msimu mpya unaohusisha teknolojia ya wanunuzi kujisajili kwenye Bodi ya Korosho kupitia mfumo wa Wizara ya Kilimo wa kusimamia Biashara za Kilimo (Agricultural Trade Management Informataion System – ATMIS). Imeeleza pia kuhusu deni la korosho msimu uliopita inalodaiwa na wakulima wakubwa kuwa shilingi …
Soma zaidi »TANGA WAKABIDHIWA JENGO LA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA
LIVE: UTEUZI WA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KATIKA SERIKALI – IKULU DSM
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA SADC
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa kuwa na mipango, sera, viwango na mifumo ya pamoja ya kisheria itakayorahisha utoaji wa huduma za usafirishaji wa bidhaa na kukuza biashara ndani ya Ukanda huo. Akifungua Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya hiyo wanaosimamia sekta …
Soma zaidi »