Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa nchi wananchama wa SADC, wa sekta ya TEHAMA, Habari,Uchukuzi na Hali ya Hewa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam.
MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI WANANCHAMA WA SADC, WA SEKTA YA TEHAMA, HABARI,UCHUKUZI NA HALI YA HEWA
Matokeo ChanyA+
September 19, 2019
Taarifa Vyombo vya Habari , Taarifa ya Habari , Tanzania MpyA+
543 Imeonekana
Mkurugenzi wa Miundombinu Sekritarieti ya Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Mapolao Rosemary Makoena akizungumza mkutano wa Mawziri wa Nchi wananchama wa SADC wa sekta ya TEHAMA, Habari,Uchukuzi na Hali ya Hewa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam.
Dkt. Leonard Chamuriho, aliyesimama wakati wa mkutano wa Mawziri wa Nchi wananchama wa SADC wa sekta ya TEHAMA, Habari,Uchukuzi na Hali ya Hewa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe akifurahia jambo na mjumbe wa katika Mkutano wa Mawaziri wa nchi wananchama wa SADC, wa sekta ya TEHAMA, Habari,Uchukuzi na Hali ya Hewa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa nchi wananchama wa SADC, wa sekta ya TEHAMA, Habari,Uchukuzi na Hali ya Hewa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam.
Washiriki Mkutano wa Mawaziri wa nchi wananchama wa SADC, wa sekta ya TEHAMA, Habari,Uchukuzi na Hali ya Hewa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam.
Washiriki Mkutano wa Mawaziri wa nchi wananchama wa SADC, wa sekta ya TEHAMA, Habari,Uchukuzi na Hali ya Hewa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe wa kulia akizungumza na mmoja wa wajumbe katika Mkutano wa Mawaziri wa nchi wananchama wa SADC, wa sekta ya TEHAMA, Habari,Uchukuzi na Hali ya Hewa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam.
Ad
Unaweza kuangalia pia
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amezindua Bodi mpya ya Shirika la …