Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Hussein Othman Katanga akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ummy Ally Mwalimu kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI katika hafla iliyofanyika …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHUHUDIA MAKAMU WA RAIS AKIAPISHWA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA

Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akitia …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS MTEULE AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Na Josephine Majura na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma Makamu wa Rais Mteule, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, amekutana na Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango na kuwasisitiza kuendelea kufanya kazi kwa bidii kutokana na umuhimu wa Wizara hiyo katika maendeleo ya nchi. Mheshimiwa Philip Isdor Mpango, ambaye kabla ya …

Soma zaidi »

SERIKALI YAANZISHA MADAWATI YA ULINZI KWA WATOTO MASHULENI

Na. Catherine Sungura, WAMJW-DodomaWizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kuratibu uanzishwaji wa madawati ya Ulinzi wa Watoto katika shule za msingi na sekondari nchini.Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa kuwasilisha taarifa ya …

Soma zaidi »

MABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA NJE YA NCHI WAHIMIZWA KUONGEZA JUHUDI ZA KUTAFUTA MASOKO

Mabalozi wanaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya Nchi wameelekezwa kujipanga, kushiriki na kutafuta fursa zitakazowezesha bidhaa mbalimbali za Tanzania kupata masoko ya  uhakika katika nchi walizopo. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi wakati akizungumza na mabalozi wanaoiwakilisha …

Soma zaidi »

VIONGOZI, WASANII NA WANANCHI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI DKT MAGUFULI KIJIJINI CHATO MKOANI GEITA

Makamanda wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdullah akiongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: HAYATI DKT. MAGUFULI AMEACHA ALAMA HADI VIJIJINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi mahiri na ameacha alama Taifa zima na ndiyo sababu analiliwa na wananchi nchi nzima hadi vijijini. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Machi 24, 2021) alipozungumza na wananchi kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kabla ya …

Soma zaidi »