Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

MKUU WA WILAYA MBARALI “HUWEZI KUTENGANISHA KODI NA MAENDELEO”

Na Veronica KazimotoMbarali Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya Reuben Mfune amewaambia wafanyabiashara wa wilayani hapa kuwa, ni vigumu kutengenisha kodi na maendeleo kwani maendeleo ya nchi yoyote ile duniani hutegemea kodi. Ameyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa semina ya wafanyabiashara hao kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi …

Soma zaidi »

PROGRAMU RUNUNU YA NAPA KUNUFAISHA SEKTA MTAMBUKA

Na Faraja Mpina, WMTH Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imewakutanisha wadau mbalimbali wa Anwani za Makazi na Postikodi ili waweze kutoa maoni kuhusu ujenzi wa Programu Rununu ya Anwani za Makazi na Postikodi (National Adddressing and Postcode mobile Application-NAPA) unaoendelea kufanyika Mkoani Morogoro na timu ya wataalamu wa …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA KUONDOA HOFU KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO DUNIA INAPITA WAKATI MGUMU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John William KijaZi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe …

Soma zaidi »

WANAOKWAMISHA KUAZISHWA KWA VIWANDA VINGI VYA KUCHAKATA MIWA NCHINI WAONYWA

Serikali imebaini uwepo wa mkakati wa kukwamisha kuanza kwa ujenzi wa viwanda vingi vya kuchakata miwa ya wakulima ili nchi isijitosheleze kwa uzalishaji wa sukari nchini .Hivyo imewaonya watu wenye nia hiyo pamoja na viwanda vya sukari vinavyoshiriki kukwamisha kuanzishwa kwa viwanda vingi vya kuchakata miwa kuacha mara moja njama …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI KWIMBA MKOANI MWANZA

Naibu Waziri Maryprisca Mahundi akimtua ndoo mama kichwani katika kijiji cha Mwabaratulu Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ikiwa ni ishara ya kumalizwa kero ya maji katika Kijiji hicho. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi  Maryprisca Mahundi (Mb)amezindua mradi wa maji Kijiji cha Mwabaratulu Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza ulioghalimu …

Soma zaidi »