Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

NAIBU KATIBU MKUU-HAZINA NDUNGURU AZUNGUMZA NA WARATIBU WA BIASHARA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA

Kamishna wa Idara ya uendelezaji wa sekta ya Fedha Wizara ya fedha na Mipango Dkt. Charles Mwamwaja akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa waratibu wa biashara ya huduma ndogo za fedha yakiwa na lengo la kujenga uelewa katika ngazi ya Wizara, Mkoa na Halmashauri ili waweze kutekeleza majukumu yao …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA AFANYA MAZUNGUMZO NA WADAU WA SEKTA YA NGUO NCHINI

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe akifafanua jambo kwa wazalishaji na waagizaji wa nguo na mavazi hususani vitenge na kanga katika kikao kilichofanyika tarehe Februari 2021 katika ukumbi wa Chuo cha Biashara (CBE ) jijini Dodoma Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amekutana na kufanya mazungumzo …

Soma zaidi »

HOTUBA ZA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA TATU WA MAENDELEO WA TAIFA WA MIAKA MITANO

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Mwigulu Nchemba na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwanaidi Ali Khamis wakichukua hoja wakati wa mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 na Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti …

Soma zaidi »

WAZIRI JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUTENGA MAENEO YA MICHEZO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametoa agizo kwa Halmashauri zote  nchini kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za michezo, huku akiagiza Wakurugenzi katika halmashauri hizo kusimamia vyema miundombinu ya michezo na kuhakikisha maeneo ya michezo hayavamiwi. Jafo ameyasema hayo Februari 08, 2021 jijini Dodoma katika kikao …

Soma zaidi »

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU DK. ALI MOHAMED SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu yaSaba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwake KibeleWilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye. Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SILINDE ATEMBELEA SHULE ZA TUMAINI NA MILADE SINGIDA

Naibu waziri wa TAMISEMI David Silinde amefanya ziara ya kushtukiza katika shule za Tumaini sekondari iliyopo wilaya ya Iramba na shule ya msingi Milade iliyopo wilaya ya mkalama mkoani Singida kufatilia maagizo yake aliyoyatoa mwezi December 2020. Naibu waziri Silinde ameridhishwa na ujenzi wa madarasa,mabweni na bwalo katika shule ya …

Soma zaidi »

DKT. KALEMANI ASEMA CORONA HAIJAATHIRI UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI

Zuena Msuya Dar es Salaam, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewatoa hofu watanzania kwa kusema kuwa tishio la virusi vya ugonjwa wa corona halijaathiri upatikanaji wa mafuta nchini. Aidha kuna ziada ya mafuta itakayotumika zaidi ya siku 30 na bado meli zinaendeleapakuwa mafuta bandarini. Dkt. Kalemani alisema hayo Jijini …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ATOA SIKU TATU RIPOTI YA WATUMISHI WANAOISHI NJE YA VITUO VYAO IMFIKIE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ifuatilie Halmashauri zilizopaswa kuhamia kwenye maeneo yake na impatie taarifa ifikapo Jumamosi, Februari 6, 2021. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Alhamisi, Februari 4, 2021) wakati akijibu swali la mbunge wa Geita Vijijini, Joseph …

Soma zaidi »