Viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani
Viongozi mbalimbali na wananchi katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Amaan tarehe:12 Januari 2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Paul Christian Makonda, Ikulu Zanzibar.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa.
BWAWA LA NYERERE NI ZIWA JIPYA ULIMWENGUNI
Linakuwa Eneo la tisa kwa ukubwa Ulimwenguni, la nne kwa ukubwa barani Afrika, na kubwa zaidi Mashariki mwa Afrika. Kwa urefu wa kilomita 100 (maili 62), upana wa kilomita za mraba 1,200 (maili za mraba 460), Likizuiwa na ukuta wa konkriti wenye urefu wa mita 134 [futi 440] likiwa na …
Soma zaidi »