Rais John Pombe Magufuli amekutana na wafanyabiashara nchini leo Ikulu Jijini Dar es salaam ili kujadili changamoto zinazowakabili wafanyabiashara na jinsi ya kuzitatua kwa ajili ya kukuza uchumi kupitia sekta binafsi nchini. Licha ya jitihada zinazoendelea kuleta uboreshaji katika sekta ya biashara, Rais ametaja uwepo wa changamoto mbalimbali kwa pande …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS KUFUTURISHA WANANCHI WA PEMBA LEO
MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS WA COMORO
RAIS MAGUFULI AFANYA KIKAO CHA KAZI NA RC, RAS, DC, DAS NA DED WOTE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Magufuli amewataka Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji kujenga ushirikiano na uhusiano mzuri baina yao ili kurahisisha utekelezaji wa majukumu yao. Mhe. Rais …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAZINGIRA CHA BARAZA LA MAWAZIRI JIJINI DODOMA
SERIKALI YASISITIZA MARUFUKU YA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI IFIKAPO JUNI MOSI 2019
Serikali yasisitiza marukufu ya matumizi ya mifuko ya plastiki ifikapo tarehe 1 Juni 2019 ipo palepale tofauti na inavyopotoshwa na baadhi ya watu wenye nia hovu ya kuleta mkanganyiko miongoni mwa jamii. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Balozi Joseph …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZINDUA RIPOTI YA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amezindua ripoti ya hali ya Hali ya Mazingira nchini Tanzania ambapo ripoti hiyo imetaja sababu mbalimbali ikiwemo ya kasi ya ongezeko la watu na ukuaji wa maendeleo unachangia kwa sehemu kubwa uharibifu wa mazingira. Akizungumza Mei 6,2019 wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo uliofanyika …
Soma zaidi »SOKO LA MADINI LA FUNGULIWA CHUNYA
LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MEI MOSI MKOANI MBEYA
TAKA NGUMU KUBORESHWA KUWA MALI
Viongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wamekutana na wadau mbalimbali wa kudhibiti taka ngumu kwa lengo la kujadili namna ambayo wanaweza kukusanya taka na kuzifanya kuwa shughuli ya biashara na ajira. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa raisi, mazingira na …
Soma zaidi »