Katibu Mkuu wa Madini Prof. Simon Msanjila akizungumza wakati wa kuzindua Soko la Madini Chunya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Maagizo ya Rais Dkt. John Magufuli ya kutaka Wilaya ya Chunya kuhakikisha inaanzisha Soko la Madini ndani ya kipindi cha Siku 7 tangu kutolewa kwa agizo hilo.Katibu Mkuu wa Madini Prof. Simon Msanjila amezindua Soko la Madini Chunya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Maagizo ya Rais Dkt. John Magufuli ya kutaka Wilaya ya Chunya kuhakikisha inaanzisha Soko la Madini ndani ya kipindi cha Siku 7 tangu kutolewa kwa agizo hilo.Wadau wa Madini wakafatilia tukio la uzinduzi Soko la Madini Chunya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Maagizo ya Rais Dkt. John Magufuli ya kutaka Wilaya ya Chunya kuhakikisha inaanzisha Soko la Madini ndani ya kipindi cha Siku 7 tangu kutolewa kwa agizo hilo.