Makamu wa Rais

MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU TANO MKOANI SINGIDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Singida na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi na kupokea taarifa ya mkoa katika ukumbi wa Halmashauri Manyoni. Makamu atakuwa na ziara ya siku 5 mkoani humo.

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WATATU WAPYA LEO JIJINI DSM

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 31 Januari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi kutoka nchi 3 ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Balozi wa kwanza kukutana na Makamu wa Rais, alikuwa Mhe. Gaber Mohamed Abulwafa Balozi mpya wa Misri hapa nchini ambaye alifika kwa lengo la …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS – CONGO IMEANDIKA HISTORIA MPYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Congo imeandika historia mpya kwa kukabidhiana madaraka kwa upendo na ana imani Viongozi wataendelea kufanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya maendeleo na maslahi mapana ya nchi yao. Makamu wa Rais ambaye alimuwakilisha Rais wa Jamhuri …

Soma zaidi »