KISWAHILI CHAPENDEKEZWA KUTUMIKA RASMI SADC
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Lugha ya Kiswahili imependekezwa kuanza kutumika rasmi katika majadiliano kwenye vikao vya ngazi ya baraza la mawaziri na katika utendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Pendekezo hilo limewasilishwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, …
Soma zaidi »MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UTATU WA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi wakati wa Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi …
Soma zaidi »MAWAZIRI SADC – TROIKA WAKUTANA KWA DHARURA BOTSWANA
Baraza la Mawaziri wa Asasi ya SADC ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama wakutana katika mkutano wa dharura na kujadili masuala ya siasa, ulinzi na usalama. Ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba …
Soma zaidi »MAKATIBU WAKUU SADC -TROIKA WAJADILI HALI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA
Na Mwandishi wetu, Gaborone Makatibu Wakuu wa SADC -TROIKA wamekutana na kujadiliana Mambo mbalimbali yakiwemo masala ya hali ya Siasa, Ulinzi na Usalama ndani ya SADC mjini Gaborone, Botswana. Awali, Mkutano wa Makatibu Wakuu ulifunguliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Botswana, Bw. …
Soma zaidi »MKUTANO WA 40 WA SADC KUFANYIKA JIJINI DODOMA
Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaotarajiwa kufanyika tarehe 17 Agosti, 2020 kwa njia ya mtandao (video conference) Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na …
Soma zaidi »SADC NGAZI YA MAKATIBU WAKUU WAJADILI, KUBORESHA RASIMU ZA NYARAKA ZA KISERA NA KIMKAKATI
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ngazi ya Makatibu Wakuu wamekutana na kujadili rasimu ya mpango mkakati elekezi mpya wa maendeleo wa kanda (2020 – 2030) pamoja na rasimu ya dira ya SADC (2020 – 2050) kwa njia ya (Video Conference) jijini Dar …
Soma zaidi »SADC YAZIPONGEZA TANZANIA NA MAURITIUS KUPANDA KIUCHUMI
Na Farida Ramadhani, Dar es Salaam Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezipongeza nchi za Tanzania na Mauritius kwa kufanikiwa kuingia katika uchumi wa kati na juu licha ya changamoto mbalimbali za kiuchumi zilizoikumba Jumuiya hiyo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na …
Soma zaidi »NCHIZA SADC ZATAKIWA KUPAMBANA NA UGAIDI NA UTAKATISHAJI FEDHA HARAMU
Na Farida Ramadhani, Dar es Salaam Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimeshauriwa kuunganisha nguvu zao kupambana na changamoto ya utakatishaji fedha haramu na ufadhili wa makundi ya kigaidi zinazotishia usalama na kuharibu uchumi wa nchi hizo . Ushauri huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara …
Soma zaidi »MKUTANO WA MAWAZIRI WA KAMATI YA SADC YA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA KWA NGAZI YA MAKATIBU WAKUU WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Mkutano wa Mawaziri wa Kamati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama kwa ngazi ya Makatibu Wakuu/ Maafisa Waandamizi umefanyika tarehe 25 Juni,2020, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing). Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama …
Soma zaidi »