MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UTATU WA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi wakati wa Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC, nchi zinazochangia Vikosi vya ulinzi na amani vya Umoja wa Mataifa kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini DRC, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Jamhuri ya Msumbiji uliofanyika leo Tarehe 27, Novemba 2020, mjini Gaborone Botswana, (Picha na Nelson Kessy)
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa Utatu wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC, nchi zinazochangia Vikosi vya ulinzi na amani vya Umoja wa Mataifa kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini DRC, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Jamhuri ya Msumbiji uliofanyika leo Tarehe 27, Novemba 2020, mjini Gaborone Botswana, (Picha na Nelson Kessy)
Ad

Unaweza kuangalia pia

Kata ya oldadai, kijiji cha oldadai,Elimu ya msaada wa kisheria ilitolewa kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kuandika mirathi,kupinga ukatili wa kijinsia na njia sahihi ya kuepuka migogoro ya aridhi

#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *