TAMISEMI

HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE

Hospitali ya Sanitas yapewa siku saba kukamilisha malimbikizo ya mishahara kwa watumishi wake agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Kazi, Ajira na Vijana Patrobas Katambi mara baada ya kuzuru ofisini hapo kwa lengo la kujiridhisha na masuala ya kisera yanayohusiana na ajira, kazi na vijana. Akiwa ofisini hapo, …

Soma zaidi »

SIMAMIENI MIRADI YA MAENDELEO – NAIBU WAZIRI SILINDE

Na Angela Msimbira SUMBAWANGANaibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa David Silinde amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinasimamia kikamilifu miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri zao ili miradi hiyo iweze kukamilika kwa wakatiNaibu Waziri Silinde ametoa agizo hilo, leo kwenye ziara yake ya Kikazi kukagua …

Soma zaidi »

DR. DUGANGE AWATAKA TARURA KUSIMAMIA MIKATABA

Nteghenjwa Hosseah, OR- TAMISEMINaibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Dk Festo Dugange ameutaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kuhakikisha mikataba ya ujenzi wa barabara inazingatia masharti na miradi inatekelezwa kwa wakati.Dk. Dugange aliyasema hayo jijini hapa alipokwenda kukutana na uongozi wa TARURA kwa madhumuni ya kujitambulisha, kutathimini …

Soma zaidi »

MHANDISI NYAMHANGA ATOA SIKU 14 KUANZA KUTUMIKA KWA KITUO CHA MABASI MBEZI LUIS

Na. Angela Msimbira Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga ametoa siku kumi na nne kwa viongozi wa Mkoa wa Dar-es-salaam kuhakikisha kituo cha mabasi yaendayo mkoani cha mbezi Luis kinaanza kutumika ifikapo Disema 20,2020Akizungumza wakati wa zoezi la kukagua maendeleo ya …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI WA KIBAMBA – KISARAWE MKOANI PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa ili kuzindua mradi mkubwa wa maji wa Kibamba-Kisarawe katika sherehe zilizofanyika Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani leo tarehe 28 Juni 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa …

Soma zaidi »

TAMISEMI YARIDHISHWA NA MATUMIZI MAZURI YA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI KATIKA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA KINONDONI

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Josephat Kandege ameridhishwa na matumizi ya fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri  zilizotumika katika utekelezaji wa miradi ya maedeleo iliyokamilika kwa wakati na viwango. Amesema kuwa Manispaa hiyo ni mfano wakuigwa kwa kuwa …

Soma zaidi »