Serikali kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza (MWAUWASA) imesaini mkataba na mkandarasi kampuni ya BENNET Contractors, kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji kwa wakazi wa Kata ya Nyashimo, Wilaya Busega mkoani Simiyu. Mkataba huo umesainiwa Mei 10, 2019 na kushuhudiwa na wananchi pamoja …
Soma zaidi »SERIKALI YATEKELEZA AHADI YA KUPELEKA UMEME KWA WACHIMBAJI WADOGO NYAKAFURU
Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imetekeleza ahadi ya kupeleka umeme kwenye migodi ya wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Nyakafuru wilayani Mbogwe hivyo kuwawezesha wachimbaji hao kutumia umeme badala ya mafuta katika kuendesha mitambo mbalimbali ikiwemo ya kuchenjulia madini. Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani aliwasha umeme …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI AAGIZA UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME GEITA UANZE MWEZI WA SITA
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amemwagiza mkandarasi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wilayani Geita, kuanza ujenzi wa kituo hicho mwezi wa Sita mwaka huu na kumaliza kazi hiyo mwezi wa Tano mwakani ili kuboresha hali ya umeme mkoani Geita. Dkt Kalemani aliyasema hayo wakati akiwa kwenye ziara …
Soma zaidi »SOKO LA MIANZI NI KUBWA SANA DUNIANI – BALOZI MCHUMO
Shirika la Kimataifa la Kuendeleza na Kusimamia Biashara ya Mianzi (INBAR) limesema ipo haja kwa Serikali ya Tanzania kutunga Sera zitakazoweza kuhamasisha wakulima hapa nchini kulima zao hilo ambalo pamoja na kuhifadhi Mazingira pia lina tija kiuchumi. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar Es Salaam jana Jumamosi (Mei 11, …
Soma zaidi »WANANCHI WILAYANI LUDEWA WAENDELEA KUANZISHA BARABARA ZA VIJIJINI
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Mh, Edward Haule mei 06/2019 aliongoza Jopo la Viongozi wa kata mbili za Madope na Lupanga pamoja na Wananchi wa Kata hizo kuchimba Barabara ya kuunganisha Vijiji Jirani katika Kata hizo. Barabara hiyo yenye urefu wa zaidi ya kilometa sita licha …
Soma zaidi »LIVE: IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA MWANZA
Ibada ya Kumsimika Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Mwanza Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande katika eneo la Kawekamo Jimbo kuu Katoliki la Mwanza .Mei 12,2019.
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAZINGIRA CHA BARAZA LA MAWAZIRI JIJINI DODOMA
SERIKALI YASISITIZA MARUFUKU YA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI IFIKAPO JUNI MOSI 2019
Serikali yasisitiza marukufu ya matumizi ya mifuko ya plastiki ifikapo tarehe 1 Juni 2019 ipo palepale tofauti na inavyopotoshwa na baadhi ya watu wenye nia hovu ya kuleta mkanganyiko miongoni mwa jamii. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Balozi Joseph …
Soma zaidi »SERIKALI YAIPONGEZA TOTAL KWA KUWEKEZA BILIONI 460
Yasaidia wajasiriamali wadogo kwa kuwatengea sh. milioni 200 kila mwaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza kampuni ya TOTAL Tanzania kwa kuwekeza hapa nchini mtaji wa dola za Marekani milioni 200 (sawa na sh. bilioni 460) ndani ya miaka mitatu. Alitoa pongezi hizo (Alhamisi, Mei 9, 2019) kwenye sherehe za kutimiza …
Soma zaidi »