Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Vatican kuanzia tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024 kufuatia mwaliko wa kiongozi mkuu wa Vatican na Kanisa Katoliki duniani Papa Francis.
Tanzania Kushiriki Mkutano Wa MINING INDABA 2024 AFRICA Kusini
Taarifa Kwa Umma Kutoka TAMISEMI
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar
Taarifa Kwa Umma Kutoka Kwa Ofisi Ya Msajili Wa Baraza La Uuguzi Na Ukunga Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu Taifa Stars jioni hii kwa njia ya simu na kuwapa moyo kuelekea mchezo wao wa leo na timu ya Taifa ya Morocco ikiwa ni mechi yao ya kwanza katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON2023.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kumuwakilisha Mhe Rais Samia Suluhu Hassan Kwenye Kikao Cha Wakuu Wa Nchi Na Serikali Zisizofungamana Na Upande Wowote (NAM)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar
Je, kuna vifungu maalum katika sheria vinavyoelezea haki na wajibu wa wahusika katika mchakato wa mirathi?
Afisa Usajili kutoka RITA Bw. Mohamed O. Changula akiwasilisha mada ya WOSIA na MIRATHI kwa wananchi wa Kijiji cha Chabutwa – Halmashauri ya ITIGI.
Soma zaidi »