Tanzania MpyA+

RAIS SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA SOKO LA SAMAKI NA BANDARI YA UVUVI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar imo katika mchakato wa kutekeleza uchumi wa buluu na tayari hatua kubwa zinachukuliwa kuhakikisha lengo hilo linafikiwa. Rais Dk. Shein aliyasema hayo  katika hotuba yake aliyoitoa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi …

Soma zaidi »

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA WA 2019 IMEOKOA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 28 KWA KUFANYA UPASUAJI WA MOYO KWA WAGONJWA 1873

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kipindi cha mwaka mmoja  wa 2019 imeokoa zaidi ya shilingi bilioni 28 kwa kufanya upasuaji wa moyo kwa wagonjwa 1873 . Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma za matibabu …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATOA WITO KWA WATANZANIA KUANZISHA BUSTANI ZA WANYAMA

Rais Dkt. John  Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori kupitia bustani za wanyama (Zoo), ili kuongeza idadi ya wanyama hao na hivyo kupanua fursa za utalii na ajira. Rais Magufuli amewapongeza baadhi ya Watanzania walioanzisha Zoo hizo wakiwemo Lut. Jen Mstaafu Samwel Ndomba (Lugari Mini Zoo …

Soma zaidi »

WAZIRI KAMWELWE AZINDUA HUDUMA YA MAWASILIANO VIJIJINI MLELE

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe amezindua huduma ya mawasiliano vijijini kwenye Wilaya ya Mlele mkoani Katavi . Mhandisi Kamwelwe amefanya uzinduzi huo jana kwenye kijiji cha Kanoge kilichopo Kata ya Utende Wilayani Mlele mkoani Katavi kwa kuzindua mnara wa mawasiliano uliojengwa na Mfuko wa Mawasiliano …

Soma zaidi »

TRA YAKUSANYA TRILIONI 1.987 DESEMBA 2019

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa mara nyingine, imevunja rekodi kwa kukusanya jumla ya kiasi cha sh. trilioni 1.987 kwa mwezi Desemba 2019 ambayo ni rekodi ya kwanza kufikiwa tangu kuanzishwa kwake ikilinganishwa na rekodi ya mwezi Septemba, 2019 iliyokuwa sh. trilioni 1.767.    Akizungumza na waandishi wa habari leo …

Soma zaidi »

MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI YATUMIA SHILINGI BILIONI 20.1 UJENZI WA MELI TATU ZIWA NYASA, IMO MELI MPYA YA ABIRIA,MIZIGO

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii Meneja wa Bandazi za Ziwa Nyasa Abedi Gallus, amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) kuna miradi mikubwa minne inayoendelea kutekelezwa katika mwaka wa fedha wa 2019/2019 ukiwemo mradi ujenzi wa meli katika Ziwa Nyasa ambao umegharimu Sh.bilioni 20.1 ikiwa ni mkakati wa …

Soma zaidi »

BANDARI YA KIWIRA LANGO KUU LA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KATIKA ZIWA NYASA – MENEJA ABEDI GALLUS

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii Imeelezwa kuwa Bandari ya Kiwira ni lango kuu la usafirishaji wa mizigo katika Ziwa Nyasa ambapo asilimia zaidi ya 90 ya shehena zinazohudumiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) katika ziwa hilo hupitia katika bandari hiyo. Hayo yameelezwa na Meneja wa Bandazi …

Soma zaidi »

TPA YAWEKA MIUNDOMBINU BANDARI YA ZIWA NYASA KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA HUDUMA YA USAFIRI

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) imesema imeshaweka miundombinu katika bandari za Ziwa Nyasa kwa lengo la kuhakikisha wananchi wa maeneo wanaozunguka ziwa hilo wanapata huduma ya kusafiri kutoka eneo moja kwenda nyingine kwa kutumia usafiri wa majini zikiwemo meli. Akizungumza na waandishi wa habari katika mahojiano maalumu , Meneja …

Soma zaidi »