LIVE: MAKAMU WA RAIS KATIKA MKUTANO WA 58 WA SHIRIKISHO LA MASHAURIANO YA KISHERIA LA ASIA NA AFRIKA
HALMASHAURI ZATAKIWA KULINDA MAENEO YA HIFADHI YALIYOIDHINISHWA VIJIJI YASIVAMIWE
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kuhakikisha zinalinda maeneo yote ya hifadhi yaliyoidhinishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kuwa vijiji ili yasiendelee kuvamiwa. Dkt Mabula alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na watendaji wa sekta …
Soma zaidi »TANZANIA KUNUFAIKA NA MIKOPO YA KUENDELEZA MIRADI YA MIUNDOMBINU KUTOKA BENKI YA ‘ASIAN INFRASTRUCTURE INVESTMENT’.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango(Mb) amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa ‘Asian Infrustructure Investment Bank’ Bw. Danny Alexander jijini Washington DC. Katika mazungumzo na Benki hiyo wamekubaliana kusaidia katika miardi endelevu ya Miundombinu kama Barabara na Reli. Mazungumzo hayo ambayo pia yalihudhuriwa na Waziri wa …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKIWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI. IKULU JIJINI DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni. Hafla inayofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 20, 2019
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA SKIMU YA UMWAGILIAJI YA KIWALALA KATIKA HALMASHAURI YA MTAMA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA OFISI ZA MUDA ZA HALMASHAURI YA MTAMA
WATOTO MILIONI 8 KUPATIWA CHANJO YA SURUA-RUBELLA
Inakadiriwa watoto wapatao 8,028,838 wenye umri wa miezi tisa hadi umri wa chini ya miaka mitano (miezi 59) wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Surua-Rubella kwenye kampeni shirikishi ya chanjo itakayotolewa nchi nzima. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoro Ummy Mwalimu wakati akizindua kampeni …
Soma zaidi »SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI LIMETOA MSAADA WA EURO MIL 8 KUBORESHA TEKNOLOJIA YA TEHAMA KATIKA MFUKO WA BIMA WA NHIF
Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani limetoa msaada wa Euro milioni 8 ambazo ni sawa na shilingi Bilioni 20 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwaajili ya kuboresha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika mfuko wa Bima ya Afya nchini NHIF. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika hafla …
Soma zaidi »