MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI MKUTANO WA AALCO Matokeo ChanyA+ October 21, 2019 Makamu wa Rais, Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania, Tanzania MpyA+ Acha maoni 700 Imeonekana Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Augustine Mahiga alipowasili katika Jengo la Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es salaam leo Oktoba 21, 2019 kwa ajili ya kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ufunguzi wa Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO). Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Palamagamba Kabudi alipowasili katika Jengo la Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es salaam leo Oktoba 21, 2019 kwa ajili ya kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ufunguzi wa Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO).(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Baadhi ya Washiri wa Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao ni Viongozi wa Serikali, Mawazi, Wanasheria, Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa na Mabalozi kutoka Nchi 48 Wanachama wa Shirika hilo wamsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) katika Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Oktoba 21,2019. Baadhi ya Washiri wa Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao ni Viongozi wa Serikali, Mawazi, Wanasheria, Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa na Mabalozi kutoka Nchi 48 Wanachama wa Shirika hilo wamsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) katika Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Octoba 21,2019. Baadhi ya Washiri wa Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao ni Viongozi wa Serikali, Mawazi, Wanasheria, Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa na Mabalozi kutoka Nchi 48 Wanachama wa Shirika hilo wamsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) katika Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Octoba 21,2019. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) katika Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Oktoba 21,2019. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) katika Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Octoba 21,2019. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest