UTUMISHI

WAZIRI MCHENGERWA AELEKEZA KUWASHUSHA VYEO MAAFISA UTUMISHI WALIOSHINDWA KUTEKELEZA AGIZO LA KUWAPANDISHA VYEO WATUMISHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaelekeza watendaji wa ofisi yake kufanya ufuatiliaji ili kuwashusha vyeo Maafisa Utumishi katika Taasisi za Umma walioshindwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hasssan la kuwapandisha vyeo watumishi wenye sifa za kupanda madaraja. Mchengerwa …

Soma zaidi »

MCHENGERWA AZITAKA TAASISI ZA KIFEDHA KUTOA MIKOPO KUPITIA HATIMILIKI ZINAZOTOLEWA NA MKURABITA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amezitaka taasisi za kifedha nchini kutoa mikopo kwa wananchi wenye hatimiliki za kimila zinazotolewa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) ili kuwawezesha wananchi hao kuendesha shughuli zao na …

Soma zaidi »

KUANZISHWA KWA MFUMO WA KUHIFADHI TAARIFA ZA WAJUMBE WA BODI ZA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA, KUTASAIDIA KUONDOA CHANGAMOTO

Mkurugenzi wa Huduma za Kimenejimenti katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Neema Musomba akitoa muhtasari wa mafunzo ya Mfumo wa Kuhifadhi Taarifa za Wajumbe wa Bodi za Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyozinduliwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt Laurean Ndumbaro, …

Soma zaidi »