WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA VIETNAM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Vietnam nchini, Mhe. Nguyen Doanh ambapo amewakaribisha wafanyabiashara kutoka Vietnam waje nchini kuwekeze katika sekta mbalimbali ikiwemo ya viwanda. Amesema Rais Dkt. John Magufuli ameanzisha Wizara ya Uwekezaji iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa ajili ya kuifanya Tanzania …
Soma zaidi »WAZIRI KAIRUKI AUTAKA UONGOZI WA KNAUF KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA JAMII INAYOWAZUNGUKA.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji Mhe. Angellah Kairuka ameutaka uongozi wa kiwanda kinachotengeneza bidhaa za cha za jasi (Gypsumboard) cha KNAUF kuendelea kushirikiana na jamii inayowazunguka katika kujiletee maendeleo. Ametoa kauli hiyo mapema mwishoni mwa wiki hii alipotembelea kiwanda hicho kilichopo katika Halmashauri ya …
Soma zaidi »LIVE: WAZIRI MKUU AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE LA BAJETI
MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA HAMSINI NA TANO 28 JUNE, 2019
Soma zaidi »LIVE: WAZIRI MKUU KATIKA KONGAMANO LA UWEKEZAJI MKOANI DODOMA
LIVE CATCH UP KUTOKA BUNGENI: MAWAZIRI WAKITOA MICHANGO YAO KATIKA BAJETI YA SERIKALI 2019/2020
RAIS MAGUFULI AMFUTA MACHOZI MFANYABIASHARA ALIYEZUILIWA BIDHAA ZAKE TANGU 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumlipa fidia mfanyabiashara ambaye bidhaa zake zilishikiliwa na Mamlaka hiyo tangu mwaka 2015 kinyume na taratibu. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo Juni 7, 2019 wakati akiongea na wafanyabiashara kutoka wilaya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA WAJADILI FURSA NA CHANGAMOTO ZA BIASHARA NCHINI
Rais John Pombe Magufuli amekutana na wafanyabiashara nchini leo Ikulu Jijini Dar es salaam ili kujadili changamoto zinazowakabili wafanyabiashara na jinsi ya kuzitatua kwa ajili ya kukuza uchumi kupitia sekta binafsi nchini. Licha ya jitihada zinazoendelea kuleta uboreshaji katika sekta ya biashara, Rais ametaja uwepo wa changamoto mbalimbali kwa pande …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA KUMWAPISHA RAIS WA MALAWI PROFESA ARTHUR MUTHARIKA
BEI YA PAMBA NI SH. 1,200 KWA KILO – WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ana imani kuwa ununuzi wa zao la pamba utaanza mara moja kwa bei ya sh. 1,200 kwa kilo moja katika mikoa yote inayozalisha zao hilo. Amefikia uamuzi huo baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya bei kwa takriban ya wiki nne tangu bei elekezi ilipotangazwa Aprili …
Soma zaidi »