WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI NCHINI RWANDA

PM 1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Rwanda Paul Kagame mjini Kigali aliko mwakilisha Rais Dkt . John Pombe Magufuli katika sherehe za miaka 25 ya Ukombozi wa Nchi hiyo .Julai 4/2019 anayeshudia ni Rais wa Sierra leon Mh Mada Bio Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa amejumuika na Viongozi wenzake katika Maadhimisho ya miaka 25 ya Ukombozi wa Rwanda
PM 2-01
Askari wa JWTZ wakiwa katika sherehe ya miaka 25 ya Ukombozi wa Rwanda

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.