Waziri Mkuu

WAZIRI MKUU – MRADI WA MAJI CHATO UKAMILIKE KWA WAKATI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameweka jiwe la msingi mradi wa maji wa Imalabupina/ Ichwankima wilayani Chato ambao una thamani ya sh. bilioni 8.28 na amewaagiza viongozi wa wilaya hiyo wahakikishe unakamilika kwa wakati. Waziri Mkuu amesemaSerikali kupitia Kampeni ya Rais Dkt. John Magufuli ya kumtua mama ndoo kichwani, itahakikisha wananchi …

Soma zaidi »

SERIKALI IMETUNGA SHERIA KUONGEZA UDHIBITI SEKTA NDOGO YA FEDHA – WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali iliamua kutunga Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 ili kuongeza udhibiti wa sekta ndogo ya fedha. “Kwa muda mrefu sekta ndogo ya fedha haikuwa na udhibiti wa kutosha. Hali hiyo ilisababisha kuwepo na uendeshaji usio rasmi wa shughuli mbalimbali za kifedha …

Soma zaidi »

Naagiza Wakurugenzi Wakuu wa NSSF, AZIMIO, Kamishna TRA wakutane – WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri MkuuKassim Majaliwa ametembelea mradi wa nyumba unaojengwa kwa ubia kati Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio Housing Estate Limited katika eneo la Dege Beach Kigamboni na kutamka kuwa amesikitishwa na uharibifu wa mali na wizi unaendelea kwenye eneo hilo. Amewaagiza Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, William …

Soma zaidi »