WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Vivutio vya utalii nchini Tanzania ni moja ya sekta zinazochangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa

Takwimu za utalii nchini Tanzania zinadhihirisha ukuaji na mchango wa sekta hii, hasa kupitia mbuga za wanyama, fukwe, na maeneo ya kihistoria. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo

Soma zaidi »

Maonyesho ya Land Rover Arusha yameingia kwenye kumbukumbu za rekodi za Dunia, jambo linaloashiria mafanikio makubwa katika sekta ya magari na pia umuhimu wa Tanzania, hasa Arusha, kama kitovu cha biashara ya magari barani Afrika. Tukio hili la kuvutia linaashiria mambo mengi muhimu

1. Umaarufu wa Land Rover: Land Rover ni chapa inayohusishwa na ubora wa magari ya hali ya juu, hasa kwa safari za nje ya barabara (off-road). Maonyesho haya yanasisitiza umaarufu wa gari hili sio tu kwa wapenzi wa magari lakini pia kwa sekta ya biashara, utalii, na uchukuzi wa mizigo …

Soma zaidi »

UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA UTALII

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeunga mkono agenda za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) kuhusu uwekezaji wa kimkakati katika rasilimali watu kwenye elimu na ujuzi pamoja na agenda ya usalama wa maeneo ya utalii lengo likiwa ni kuibadilisha Afrika kwa siku zijazo kupitia ujuzi wa elimu na …

Soma zaidi »

MKURUGENZI WA USAID TANZANIA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Tanzania wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri mara baada ya kufanya mazungumzo leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na …

Soma zaidi »

WAZIRI DKT.NDUMBARO AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KUWA NA KAULI MOJA KUHUSIANA NA BIASHARA YA UWINDAJI WA KITALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro amezitaka nchi za Afrika kuwa na kauli moja kuhusu taratibu na bei  za wanyamapori  katika biashara uwindaji wa kiutalii Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kwa nyakati tofauti katika vikao  ana  kwa ana na baadhi ya  mawaziri wa Utalii wa nchi za Afrika katika …

Soma zaidi »

TANZANIA, ZIMBABWE ZAKUTANA CAPE VERDE KUJADILI BIASHARA YA UWINDAJI WA KITALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amezitaka nchi za Afrika kuwa na kauli moja kuhusu taratibu na bei  za wanyamapori  katika biashara uwindaji wa kiutalii. Dkt. Ndumbaro ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kwa nyakati tofauti katika vikao  ana  kwa ana na baadhi ya  Mawaziri wa Utalii wa nchi …

Soma zaidi »