MKOA WA KIGOMA

“KIGOMA – TUMETUNZA FRIJI ZETU KWENYE STORE, NA TUNAKULA VYAKULA FRESH KABISA, HII NI FAHARI KWETU”

Mbali na uhifadhi wa kisasa, Kigoma imeendelea kuwa kitovu cha biashara zinazochangia uchumi wa eneo hili. Soko la vyakula safi limeimarika, likihusisha biashara za ndani na zile za nje ya mkoa. Wajasiriamali wengi wanazidi kuwekeza katika sekta hii, huku wakifurahia ongezeko la wateja wanaothamini bidhaa zenye ubora wa hali ya …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA SOKO LA TANGAWIZI KIGOMA

Na Josephine Majura, Kigoma Waziri wa Fedha na Mipango,  Dkt. Philip Isdor Mpango, ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la soko la zao la biashara la Tangawizi linalolimwa kwa wingi Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma. Dkt. Mpango ametoa ahadi hiyo katika Kata ya Munzeze mkoani Kigoma, akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo ambapo amesema atatafuta …

Soma zaidi »

DOKTA MPANGO AMTAKA MKANDARASI HOSPITALI YA WILAYA YA BUHIGWE, KIGOMA KUZINGATIA UBORA

Na. Josephine Majula na Peter Haule, WFM, Kigoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Kigoma kumsimamia ipasavyo mkandarasi anayejenga Hospitali ya Wilaya ya Buhigwe mkoani humo, baada ya kutoridhishwa na ubora wa majengo ikilinganishwa na kiasi cha shilingi bilioni 2.4 zilizotumika mpaka …

Soma zaidi »

TANESCO WAPEWA SIKU TANO KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WA KIDAHWE

Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kidahwe,kata ya Kidahwe Wilaya ya Kigoma vijiji, Mkoani Kigoma,wakati akiwa kwenye uzinduzi wa kuanza malipo kwa wananchi ambao wameridhia kutoa ardhi yao kwaajili ya ujenzi wa kituo cha Kupoza umeme cha Kidahwe. Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani ametoa siku …

Soma zaidi »