Balozi Diallo amemshukuru Rais Samia kwa mapokezi mazuri na kueleza dhamira yake ya kuendeleza na kukuza mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Mali. Amesisitiza kwamba atafanya kazi kwa bidii kuhakikisha kuwa nchi hizi mbili zinanufaika na ushirikiano wao katika nyanja mbalimbali. Mheshimiwa Diallo, ambaye atakuwa na makazi yake jijini Addis …
Soma zaidi »Recent Posts
RAIS DK. MWINYI; ZANZIBAR KUPUNGUZIWA GHARAMA ZA UENDESHAJI WA MIRADI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameonesha utayari wa Serikali ya Zanzibar kushirikiana na Taasisi ya Mabenki Yasiyo na Mipaka (Bankers without Boundaries) katika kuwekeza kwenye miradi ya kipaumbele ambayo italeta tija kwa nchi. Dk. Mwinyi alitoa kauli hiyo leo, tarehe 14 …
Soma zaidi »CP DKT. KYOGO: POLISI WAPO KWA AJILI YA KULINDA USALAMA WENU, USHIRIKIANO MUHIMU KUELEKEA UCHAGUZI
“Polisi wako hapa kwa ajili yenu, siyo kuwafanyia vitisho bali kuhakikisha usalama wenu unadumishwa. Tunahitaji ushirikiano wenu ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na uadilifu,” CP Dkt . Ezekieli Kyogo Aliongeza kuwa, ni muhimu kwa wananchi wote kushirikiana na polisi katika kupambana na uhalifu, hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi …
Soma zaidi »4R KATIKA SHUGHULI ZA ULINZI WA RAIA NA MALI ZAO
KUBORESHA MAADILI , MALEZI MEMA, MIENENDO YA MAISHA KATIKA JAMII; WANANCHI WANASHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI NCHINI KUPUNGUZA NA KUTOKOMEZA UHALIFU KWA NJIA SHIRIKISHI Matokeo chanyA+ #KaziIendelee🇹🇿💪🏾
Soma zaidi »WATANZANIA WAPONGEZA UBORA WA TRENI YA SGR, MRADI ULIOLETA AJIRA NA KUBORESHWA KWA USAFIRI NCHINI
Wananchi wa Tanzania wameonyesha furaha na shukrani kwa serikali kutokana na ujenzi wa treni ya SGR, mradi ambao umeleta mabadiliko makubwa katika sekta ya usafiri nchini. Treni ya SGR inasifika kwa ubora wake, ikiwa na miundombinu ya kisasa inayorahisisha safari kwa muda mfupi na kwa usalama wa hali ya juu. …
Soma zaidi »