Recent Posts

BYABATO: NJOONI MUWEKEZE SINGIDA UMEME UPO WA KUTOSHA

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amewataka wawekezaji Duniani kote kuja kuwekeza mkoani Singida kwakuwa kuna Umeme mwingi wakutosha na wa uhakika. Alisema hayo alipokuwa akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji mkoani Singida, uliofanyika Februari 23, 2021. Wakili Byabato alisema kuwa, kwa sasa mkoa huo unazalisha umeme …

Soma zaidi »

HALMASHAURI YA CHALINZE YAKABIDHI VITI-MWENDO 10 KWA WATOTO WENYE ULEMAVU

Halmashauri ya Chalinze yakabidhi Viti-Mwendo 10 kwa watoto wenye Ulemavu. Akizungumza kwenye makabidhiano hayo Mbunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete amewashukuru watendaji wa Halmashauri kwa utekelezaji wa maagizo yanayotolewa kwenye vikao. Mbunge Kikwete amepongeza hatua hiyo ya kufikia malengo ya Serikali ya kuhakikisha kila …

Soma zaidi »

DARAJA LA MWASONGE KUUNGANISHA MISUNGWI NA NYAMAGANA

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), mkoani Mwanza umedhamiria kuunganisha Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana kupitia ujenzi wa Daraja la Mwasongwe lililopo Mto Nyashishi ili kuwezesha wananchi kufanya shughuli zao za usafiri na usafirishaji kwa urahisi. Hayo yamesemwa na Meneja wa …

Soma zaidi »