Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP unaogharimu Dola za Kimarekani Milioni 300 upo mbioni kukamilika baada ya mradi huo kufika 85% baada ya kazi kubwa iliyofanyika kati ya Dar es Salaam – Isaka umbali wa Kilometa 970 tangu ulipoanza rasmi utekelezaji wake mwezi Juni 2018. Mafundi wakiendelea …
Soma zaidi »Recent Posts
WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAZINGIRA MRADI WA MACHINJIO YA VINGUNGUTI NA ENEO LA KINYEREZI LINALOPITA BOMBA LA GESI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )Mhe. Mussa Azzan Zungu amefanya Ziara katika eneo la Machinjio ya Vingunguti pamoja na eneo la mtaa wa Songas lililopo Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, yenye lengo la ukaguzi wa Mazingira katika maeneo hayo. Katika Mradi wa Machinjio ya …
Soma zaidi »WAFANYABIASHARA WAISHUKURU TRA KWA KUWAELIMISHA MASUALA YA KODI
Na Veronica Kazimoto Wafanyabiashara wa Tabata jijini Dar es Salaam wameishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuwaelimisha masuala mbalimbali yanayohusu kodi na kusema kuwa, elimu hiyo itawasaidia kuongeza uhiari wa kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Wakizungumza wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayofanyika jijini hapa, …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AKERWA MSHAURI ELEKEZI KUKWAMISHA MRADI HOSPITALI YA RUFAA MARA
Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na hatua ya kusimamisha ujenzi wa miundombinu kwenye mradi wa kimkakati wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyopo eneo la Kwangwa Manispaa ya Musoma mkoa wa Mara uliofanywa na Mshauri …
Soma zaidi »KIWANDA CHA KUCHENJUA NA KUTAKASA MADINI CHAANZA KAZI RASMI JIJINI DODOMA
Godwin Myovela na Dotto Mwaibale, DodomaHatimaye Kiwanda cha kwanza kikubwa chenye uwezo wa kutakasa dhahabu na madini mengine kwa ubora wa mahitaji ya soko la kimataifa sasa kimeanza rasmi uzalishaji nchini. Kiwanda hicho kinachojulikana kama Eyes of Africa Ltd ( EOA) kimeanza uzalishaji wake kwa uwezo wa kutakasa dhahabu na …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA APONGEZA MAFANIKIO YALIYOFIKIWA KATIKA UJENZI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametoa pongenzi kwa Jeshi la Magereza na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa hatua waliyofika katika ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga. Akizungumza …
Soma zaidi »SERIKALI YAANZA RASMI BIASHARA YA KUUZA MAFUTA NCHINI
Na Zuena Msuya, Mara Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua rasmi biashara ya kuuza na kusambaza mafuta nchini kwa kufungua kituo cha kwanza kuuza mafuta ya Petroli na Dizeli cha Serikali kitakachosimamiwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) kupitia Kampuni yake Tanzu ya Mafuta ( TANCOIL). Aidha …
Soma zaidi »UBORA WA MAZINGIRA YETU NDIO UHAI NA USTAWI WETU – WAZIRI ZUNGU
Na Lulu Mussa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema suala la mabadiliko ya tabianchi halitambui mipaka ya kijiografia wala ya kisiasa, hivyo, juhudi za kukabiliana na changamoto hii zinahitaji ushirikiano wa pamoja baina ya Jumuiya za Kimataifa. Hayo ameyasema hii leo Jijini Dodoma …
Soma zaidi »NCHI ZA NORDIC ZAAHIDI KUENDELEZA, KUIMARISHA UHUSIANO WAKE NA TANZANIA
Nchi za NORDIC ambazo ni Norway, Sweden, Finland na Dernmark zimeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania na kuhakikisha kuwa Tanzania inasonga mbele katika maendeleo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi. Akiongea wakati wa maadhimisho ya wiki ya Nordic jijini Dar es Salaam, Balozi wa Norway nchini, Elisabeth Jacobsen amesema kuwa nchi za …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS ATAKA KUFANYIKA TATHMINI KATIKA MAENEO YOTE YA MIGODI NA WACHIMBAJI WADOGO ILI KUBAINI KIWANGO CHA UHARIBIFU WA MAZINGIRA
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, tarehe 6 Juni, 2020 amekutana na Viongozi na Watumishi Waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika Kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kambarage uliopo katika Jengo la …
Soma zaidi »