Recent Posts

RAIS MAGUFULI ATAKA WATANZANIA KUJIVUNIA MAFANIKIO YA NCHI YAO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema Watanzania wana kila sababu ya kutangaza na kujivunia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi kifupi cha miaka minne iliyopita na ameahidi kuendelea kusimamia rasilimali za Taifa ili ziwanufaishe zaidi. Mhe. Rais Magufuli ameyasema hayo leo tarehe 10 Oktoba, …

Soma zaidi »

DKT.KALEMANI AMSIMAMISHA KAZI ALIYESABABISHA UMEME KUKATIKA KWA UZEMBE

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amemsimamisha kazi kwa uzembe, Mhandisi Samson Mwangulume wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) baada ya umeme kukatika kutokana na hitilafu iliyotokea katika Kituo cha Kupoza na Kusambaza umeme cha Ubungo, Jijini Dar es salaam. Umeme huo ulikatika usiku wa Octoba 03, 2019 na …

Soma zaidi »

BODI YA REA YAKAGUA MRADI WA UMEME JUA UYUI

Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekagua mradi wa umeme jua unaotekelezwa katika kijiji cha Tura, kilichopo Uyui, Mkoa wa Tabora; ikiwa ni sehemu ya ziara ya kamati hiyo katika mikoa mbalimbali nchini, kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini. Akizungumza Oktoba Mosi, …

Soma zaidi »

UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME VIJIJINI TABORA HAURIDHISHI – BODI

Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imesema hali ya utekelezaji mradi wa umeme vijijini mkoani Tabora hairidhishi. Akitoa tathmini ya ziara waliyoifanya Oktoba 2, 2019 kukagua utekelezaji wa Mradi huo Awamu ya Tatu, Mzunguko wa Kwanza mkoani humo; Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi husika, Mhandisi …

Soma zaidi »

NDITIYE ASHUHUDIA KUWASILI KWA VIFAA VYA UJENZI WA MELI MPYA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye ameshuhudia kuwasili kwa shehena ya kwanza ya kontena 17 kati ya 300 zenye vifaa kwa ajili ya ujenzi wa meli mpya ya Ziwa Victoria mkoani Mwanza itakayogharimu shilingi bilioni 89 Nditiye amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. …

Soma zaidi »