Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mizengo Pinda amewaasa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wanaotarajia kustaafu hivi karibuni kudumisha nidhamu katika matumizi ya fedha baada ya kustaafu utumishi wa umma na kujikita katika shughuli za uzalishaji. Akizungumza katika makazi yake yaliyopo Zuzu Jijini Dodoma wakati …
Soma zaidi »Recent Posts
TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA (TAEC) YAIMARISHA UTENDAJI WAKE KWA KUTUMIA TEHAMA
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imetajwa kuongeza tija katika utendaji wake kutokana na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)katika huduma zake kwa wadau. Akizungumza katika kipindi cha “TUNATEKELEZA” Mkurugenzi Mkuu wa Tume hiyo Prof. Lazaro Busagali amesema kuwa Tume hiyo imeimarisha utoaji wa huduma zake kwa …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MGALU AZURU KONDOA KUJIRIDHISHA NA ELFU 27 YA UMEME VIJIJINI
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amefanya ziara wilayani Kondoa, Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa agizo la Serikali kuhusu kuwezesha wananchi wote wanaopitiwa na miradi ya umeme vijijini (REA), kulipia shilingi 27,000 tu bila kujali ni vijijini au katika Halmashauri za Wilaya. Alifanya ziara hiyo jana, …
Soma zaidi »TUMEPOKEA MAOMBI MAPYA YA KUUZA MAHINDI TANI MILIONI MOJA KWENDA KENYA – NAIBU WAZIRI MGUMBA
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Omary Mgumba amesema Serikali ya Tanzania imepokea maombi mapya ya kuuza mahindi kwenda nchini Kenya yenye jumla ya Tani milioni 1. Mhe. Mgumba ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya gafla kwenye Ofisi za Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA – Makao Makuu) Jijini, …
Soma zaidi »WIZARA YA MAMBO YA NJE WAMWITA KAIMU BALOZI WA MAREKANI WIZARANI
June 19,2019 Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania ulitoa taarifa katika mitandao ya kijamii “Twitter” kuhusu angalizo la kiusalama “security alert”. Angalizo hilo la kiusalama lilitokana na uvumi unaodaiwa na ubalozi huo kusambaa kuhusu uwezekano wa kutokea kwa shambulio katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam. Wizara ya …
Soma zaidi »SERIKALI KUAJIRI WAKAGUZI WA NDANI 100
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege (Mb) amesema TAMISEMI imewasilisha maombi ya kupata kibali cha ajira ya Wakaguzi wa Ndani 100 ili kutatua changamoto ya uhaba wa watumishi wa Kada hii katika Sekretariet za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Mhe. Kandege ameyasema hayo wakati akifungua …
Soma zaidi »SERIKALI YAJIPANGA KUTEKA SOKO LA WATALII CHINA
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kwa sasa muelekeo wa soko la Utalii nchini umelenga kupata watalii wengi kutoka nchini China na kama Wizara inayoshugulikia masuala ya Utalii, suala la kujifunza lugha ya kichina kwa baadhi ya watumishi na wadau wa utalii ili kuteka soko hilo ni jambo …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI AWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI KUTOKUKATIKA KWA UMEME
Wizara ya Nishati imewataka wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye sekta ya viwanda ili kuongeza tija ya uzalishaji wa bidhaa kwa kuwa sasa Serikali imewekeza kwenye miundombinu ya uzalishaji wa umeme na kwamba hautakatika tena. Waziri wa Nishati Medard Kalemani aliyasema hayo Jijini Dar Es Salaam wakati akizungumza na Wawekezaji wenye …
Soma zaidi »WAZIRI BASHUNGWA AWATOA HOFU WAFANYABIASHARA KUHUSU UBORA WA KOROSHO
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa yupo ziarani katika mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma, Pwani na Dar es salaam ili kujionea mwenendo wa hali ya ubora wa zao la korosho kwenye maghala. Mhe Bashungwa amesema kuwa kumekuwa na dhana potofu kwa wananchi katika maeneo mengi kuhusu ubora wa …
Soma zaidi »JAFO AAGIZA UJENZI WA HOSPITAL YA UHURU UANZE MARA MOJA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(Mb) ameagiza ujenzi wa Hospital ya Uhuru uanze Wiki ijayo Tar.24/06/2019 ili kutimizia ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa Dec, 2018 na kuelekeza fedha kwa ajili …
Soma zaidi »