Recent Posts

SERIKALI YAPUNGUZA TOZO YA USHURU YA MCHUZI WA ZABIBU

Serikali imepunguza tozo ya ushuru ya mchuzi wa zabibu kutoka 3,315 hadi 450 kwa lita kwa kinywaji kikali kitokanacho na mchuzi wa zabibu. Akichangia Bungeni katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria Na.2/2019 Mbunge wa Viti Maalum Mh Mariam Ditopile ameishukuru serikali kwa kuleta mabadiliko hayo ya ushuru wa bidhaa na …

Soma zaidi »

UJENZI WA GATI JIPYA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Ujenzi wa Gati jipya ndani ya Bandari ya Dar es Salaam ukiendelea kupitia mradi mkubwa wa “DMGP”. Mpaka kukamilika kwake mradi huu utagharimu zaidi ya Dola Milioni 300 za Marekani. Mradi utahusisha ujenzi wa gati jipya na kuongeza kina cha maji kwenye Gati 1-7 kufikia mita 14.5

Soma zaidi »

RAIS MSTAAFU JK AONGOZA KIKAO CHA KAZI NA SHIRIKISHO ZA KIUCHUMI AFRIKA

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika nafasi yake ya mjumbe wa taasisi ya kutokomeza malaria (End Malaria Council) jana aliendesha kikao cha kikazi na wakuu mbalimbali wa Shirikisho za Kikanda za Kiuchumi za Africa. Katika Kikao hicho Mhe. Kikwete alielezea umuhimu wa kuwekeza nguvu za pamoja katika kuutokomeza ugonjwa …

Soma zaidi »

TANZANIA NA KUWAIT ZAJADILI UDHIBITI WA MIPAKA

Serikali ya Tanzania na Nchi ya Kuwait ziko katika mpango maalumu wa kubadilishana uzoefu juu ya udhibiti wa mipaka ikiwa ni juhudi za Tanzania kuimarisha ulinzi katika mikoa yote nchini iliyopo mipakani Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa mazungumzo na …

Soma zaidi »