Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetenga kiasi cha shilingi bilioni 400 kwa ajili ya kazi ya kusambaza umeme kwenye maeneo takribani 754 yaliyopitiwa na miundombinu ya umeme lakini hayana umeme. Hayo yalisemwa tarehe 24 Juni, 2019 jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu wakati wa Majumuisho ya Semina …
Soma zaidi »Recent Posts
LIVE: MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA
LIVE: WABUNGE WAKIPIGA KURA ZA WAZI UPITISHAJI WA BAJETI YA SERIKALI 2019/2020
LIVE CATCH UP KUTOKA BUNGENI: MAWAZIRI WAKITOA MICHANGO YAO KATIKA BAJETI YA SERIKALI 2019/2020
LIVE: UZINDUZI WA GHALA NA MITAMBO YA KUCHAKATA GESI YA LPD, KIGAMBONI DSM
LIVE: KUTOKA BUNGENI DODOMA
MKUTANO WA KUIMARISHA UWEZO WA KIKANDA KWA SEKTA ENDELEVU YA MADINI YA URANI WAFUNGULIWA RASMI
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) kwa kushirikiana na Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) wanaendesha mkutano wa siku tano kwa nchi wanachama wa IAEA kanda ya Afrika, zinazodhibiti usalama wa mionzi. Lengo kuu la mkutano huo uliohudhuriwa na jumla ya washiriki 27 kutoka Botswana, Jamhuri ya Afrika …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MGALU AWASHA UMEME NJOPEKA MKOANI PWANI
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, jana Juni 23, 2019 alikiwashia rasmi umeme kijiji cha Njopeka kilichopo wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Aliwasha umeme huo kwenye Duka la Abdul Abdulrahman, ikiwa ni ishara ya kukiwashia kijiji kizima. Kabla ya tukio la kuwasha umeme, Naibu Waziri alizungumza na wananchi wa eneo …
Soma zaidi »SERIKALI KUFANYA UPEMBUZI YAKINUFU KWA AJILI YA UPANUZI WA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI)
Tanzania imetia saini Mkataba wa kupatiwa fedha za Msaada wa Shilingi Bilioni 60 za kitanzania kutoka Serikali ya Watu wa China bila ya masharti yeyote ambapo Serikali ya Tanzania itaamua matumizi yake katika miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi wake. Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na …
Soma zaidi »