Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza kuhudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha marehemu mumewe leo Jumapili Machi 2022. Pamoja naye ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na …
Soma zaidi »Recent Posts
ZIARA YA RC MOROGORO YAUKATAA MRADI WA BARABARA MOROGORO VIJIJINI
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Fatma Mwassa amekataa Mradi wa Barabara ya Zege iliyojengwa Chini ya kiwango , katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kata ya Matombo barabara ya Kigongo Juu . Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa amemuagiza Katibu tawala wa Mkoa docta Mussa pamoja na Engineer wa Mkoa …
Soma zaidi »SERIKALI YA WAKARIBISHA WAWEKEZAJI WA JUMUIYA YA AFASU KUTOKA MISRI
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji imewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka nchini Misri kupitia Jumuiya ya Muungano Kimataifa chini ya kundi la Afrika na Asia (Afro-Asian Union (AFASU). Ujumbe wa Jumuiya hiyo umefika nchini kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji hususani katika sekta ya; Utalii, Kilimo, Afya, …
Soma zaidi »JAMHURI YA CZECH YAKABIDHI VITANDA VIWILI VYA KISASA VYA WAGONJWA OCEAN ROAD
Na Mwandishi wetu, Dar Jamhuri ya Czech kwa kushirikiana na kampuni ya Linet Group pamoja na Gama Pharmaceuticals (T) Limited imefanikiwa kuchangia vitanda viwili vya kisasa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road vyenye thamani ya shilingi milioni 16 za kitanzania. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Czech …
Soma zaidi »WAFANYABIASHARA, WAWEKEZAJI KUTOKA CZECH WAONYESHA UTAYARI KUWEKEZA TANZANIA
Na Mwandishi wetu, Dar Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Jamhuri ya Czech wameonesha nia ya kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa Pamba pamoja na viwanda vya nguo hapa nchini. Akibainisha kuhusu utayari wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Czech, kuwekeza hapa nchini, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Czech Mhe. …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUMSHUSHA MAMA NDOO KICHWANI – MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kilwa, kufanya utafiti wa kina wa maeneo ambayo yatawezesha upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yote yenye changamoto ya maji katika wilaya hiyo. Amesema Serikali inayoongozwa na mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuhakikisha huduma ya maji safi …
Soma zaidi »MHANDISI KUNDO AZINDUA DUKA LA POSTA MTANDAO
Afisa TEHAMA wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Prosper Mallya akimpitisha Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew namna ya kununua gazeti mtandao la kampuni hiyo kabla ya kabla ya uzinduzi rasmi wa Duka Mtandao la Posta ulioambatana na Maadhimisho ya Wiki ya Posta …
Soma zaidi »WAZIRI MAKAMBA AANZA KUTEKELEZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS MKOANI KIGOMA
Waziri wa Nishati, January Makamba ameanza kutekeleza agizo lililotolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango tarehe 22 Septemba 2021 la kutatua changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara mkoani Kigoma. Katika ziara yake ya kikazi mkoani Kigoma aliyoifanya tarehe 06 Oktoba 2021, Waziri …
Soma zaidi »DKT. BITEKO AWATAKA WAFANYABIASHARA WA MADINI KUSAJILI MIKATABA NA WABIA WAO TUME YA MADINI
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza na wafanyabiashara wa madini katika Soko Kuu la Dhahabu Mkoani Geita leo Oktoba 6, 2021. (Picha na Steven Nyamiti-WM). Na Steven Nyamiti- WM Wafanyabiashara wa madini wametakiwa kuingia mikataba na wabia wao kwa mujibu wa sheria na kuhakikisha mikataba hiyo inasajiliwa katika ofisi …
Soma zaidi »TANZANIA NA BENKI YA KIARABU WASAINI MKATABA WA UJENZI WA BARABARA YA ZANZIBAR
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, wakisaini marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete – Chake Chake, Pemba katika hafla iliyofanyika, jijini Dodoma. Waziri wa Fedha …
Soma zaidi »