TANZANIA NA BENKI YA KIARABU WASAINI MKATABA WA UJENZI WA BARABARA YA ZANZIBAR

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, wakisaini marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete – Chake Chake, Pemba katika hafla iliyofanyika, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akimsindikiza Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini marekebisho ya mkataba wa mradi wa bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini wa marekebisho ya mkataba wa mradi wa bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro ikiwa na baadhi ya Wanyama, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini wa marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dkt. Sidi Ould Tah, baada ya kumaliza hafla ya utiaji saini wa marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete hadi Chake Chake, Pemba iliyofanyika jijini Dodoma. (Picha na WFM – Dodoma)
Ad

Unaweza kuangalia pia

Uzinduzi wa Jengo Jipya la Makao Makuu ya UCSAF Dodoma: Kuimarisha Mawasiliano Vijijini

25 Aprili 2024, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *