Taasisi ya Mifupa MOI kwa kushirikiana na Taasisi ya BMVSS ya India wataendesha zoezi la kutoa miguu bandia 600 BURE. taarifa zinaksema wote wenye uhitaji wafike MOI ndani ya mwezi April 2019 kwa vipimo na miguu hiyo itatolewa mwezi May 2019
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI AKIZINDUA VITUO VYA AFYA 352 NCHINI
https://youtu.be/D26WEET6ijM
Soma zaidi »UPASUAJI SARATANI YA MATITI SASA UNAFANYIKA BILA KULIONDOA
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa kushirikiana na kampuni ya dawa ya Roche ya nchini Kenya imeandaa mkutano wa kisayansi wa kuwajengea uwezo wataalam wa Radiolojia, Pathiolojia, Upasuaji, tiba ya mionzi na dawa kufanya upasuaji wa saratani ya matiti kwa kutoa uvimbe bila kuondoa titi lote kwa wagonjwa wenye dalili za …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO NA MASHINE ZA TIBA ZA LINAC KATIKA TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema tatizo la saratani kwa Watanzania linaweza kupungua ama kuondokana nalo endapo kutakuwa na tabia ya kupima afya zetu mara kwa mara. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo kwenye uzinduzi wa jengo na mashine mpya za tiba …
Soma zaidi »WILAYA YA NKASI WAKAMILISHA MABORESHO YA VITUO VITATU VYA AFYA
Wakinamama wa Wilaya ya Nkasi, wamepongeza Serikali kwa kukamilisha maboresho ya vituo vya afya vya Wampembe, Kilando na Nkomolo na kuanza kutoa huduma kwa wananchi wa maeneo hayo. ”Hapa sasa hivi ni tofauti panahuduma nzuri Mungu ametuletea na vipimo yaani tunatibiwa bila kunyanyasika manesi wenyewe wanatupokea vizuri hata ukiwa mchafu …
Soma zaidi »LIVE KUTOKA JNICC: MAKAMU WA RAIS AKIFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI NA AFYA
UJENZI WA KITUO CHA AFYA BWISYA UKARA MKOANI MWANZA WAKAMILIKA
Majengo ya kituo cha afya cha Bwisya Ukara, Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza Kilichojengwa kwa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli yamewavutia na kuwafurahisha wananchi wa eneo hilo ambao walikuwa wakikabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma za matibabu. Kukosekana kwa …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP; KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI 22 MACHI, 2019.
WAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KOROMIJE
Waizri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua mradi wa ujenzi na ukarabati mkubwa wa kituo cha afya cha kata ya Koromije wilayani Misungwi na amewahakikishia wananchi kuwa Serikali imejipanga vizuri kuboresha huduma za afya. Amesema uboreshaji huo unahusisha ujenzi wa chumba cha upasuaji, maabara, chumba cha kujifungulia, wodi ya mama na mtoto …
Soma zaidi »WAGONJWA WATANO WAPANDIKIZWA FIGO KATIKA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
Hospitali ya Benjamin Mkapa imefanikiwa kupandikiza Figo jumla ya Wagonjwa saba tangu ilipoanza kufanya huduma hiyo kwa kushirikiana na Madaktari kutoka shirika la afya la Tokushukai lilopo nchi ya Japan. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakati alipofanya ziara ya kukagua hali …
Soma zaidi »